Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Nilijua aziz k na morrison na mayele wamefungiwa kumbe haji?tff watuletee makolo tar 13 asubuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unateseka na kipi?? Adhabu wametoa TFF kamati ya maadili, sasa tar 13 inahusu nn? Ushavurugwaa na adhabu hii tena ndogo kabisaa.

Byuti byuti.
 
Nadhani anajiandaa kuita press, aanze kulialia mbele ya waandishi wa habari ionekane kaonewa wakati haji hanaga staha hata kidogo anatopoka lolote lililomjia
 
Huyu jamaa aliyajua haya mapema na ndio maana akapost kile kipicha amevalia skin tight na towel yenye nembo ya Yanga akiandika caption yenye maneno ya kinyonge
 
Safi sana,aende akaropokee kwa babake sasa
 
Hapana maisha NI hukumu mbaaya.hyo hyo miwili inatosha.
Lengo NI kuwekana sana.na kujua mipaka yetu inapoishia.
Wangemfungia maisha kabisa huyo mpuuzi….!!!!
Japo atakata rufaa ila itupiliwe mbali!!!
Keshazimia huko kwa taarifa za ndani kabisa!
 
Acha apumzike kidogo makelele yamezidi,akimaliza kifungo arudi kwao huko huko Kwa Mikia wenzie
Kwa mashabiki wa Yanga wenye akili, hili jambo tumelipokea kwa furaha mno ila kwa mashabiki wa GSM yanga ni taarifa mbaya kwao. Manara alipokuwa Simba nilimuona hana weledi na hata kuja kwake Yanga kulinichukiza mno
 
Ila faini ya milioni 20 aisee sio mchezo...wajumbe hapa kwakweli wamekurupuka.

Miaka 2 mingi kwa mtu mweledi ila kwa Manara kwa sababu ya ushenzi wake anastahili zaidi ya hiyo.

Ila wasomali noma [emoji16][emoji16] HAJAJIFUNZA KWA AL SHABABY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…