Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

...adhabu imetolewa kishabiki kwa sababu aliyeshika mpini ni shabiki wa timu pinzani😀
 
Ww ni hunger game player
 
Rudi nyumbani kapumzike, rudi nyumbani kapumzike nimeshindwa na maudhi

Rudi nyumbani kapumzike ukisha badirika utarudi

Msikilize dizasta hapo chini, verse ya kwanza tu

Your browser is not able to play this audio.
 
Hii miaka 2 aitumie vizuri kuangalia wapi amekosea na ajifunze namna ya kubehave vizuri na watu
Asipoangalia anaweza kupotea kwenye game mazima ,maana miaka miwili ikiisha atakuja na kiki ipi na generation inabadilika
 
Hiyo ni hujuma dhidi ya yanga,ikiratibiwa na🦁pamoja mbeleko yao t ef ef hata hivyo hamtatuweza mabingwa wa kihistoria ,ubingwa Tena kwenu hesabuni kwa uchache .Miaka Saba. 7 ijayo wanalunyasi hapo mmejaza maji kwenye pakacha,jaribuni Tena baadae 7miaka ijayo🤸🏃
 
Lunyasi inahusika vipi hapa??? Pambaneni kivyenu.
Hatuhitaji mtuhusishe kwenye vagaa lenu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…