Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

...adhabu imetolewa kishabiki kwa sababu aliyeshika mpini ni shabiki wa timu pinzani😀
 
Nilipoanzisha Uzi mapema leo nikiwa na uhakika wa 100% kuwa Haji Manara Wapumbavu kama akina sky soldier walinipinga na kuna wengine walitamani isiwe kama nilivyotabiri ili waje Wanishambulie na Wanicheke kuwa nimechemka.

MImi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' JamiiForums nzima na nimebarikiwa vingi na Mwenyezi Mungu.

Akhsante Mwenyezi Mungu kwa Tunu.
Ww ni hunger game player
 
Rudi nyumbani kapumzike, rudi nyumbani kapumzike nimeshindwa na maudhi

Rudi nyumbani kapumzike ukisha badirika utarudi

Msikilize dizasta hapo chini, verse ya kwanza tu

 
Hii miaka 2 aitumie vizuri kuangalia wapi amekosea na ajifunze namna ya kubehave vizuri na watu
Asipoangalia anaweza kupotea kwenye game mazima ,maana miaka miwili ikiisha atakuja na kiki ipi na generation inabadilika
 
Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20

Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF
View attachment 2298517
====

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia Msemaji Klabu ya Yanga, Haji Manara kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh. milioni 20

Amekutwa na hati kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF, Wallace Karia kwenye fainali ya ASFC kati ya Yanga na Coastal Jijini Arusha
View attachment 2298509
Hiyo ni hujuma dhidi ya yanga,ikiratibiwa na🦁pamoja mbeleko yao t ef ef hata hivyo hamtatuweza mabingwa wa kihistoria ,ubingwa Tena kwenu hesabuni kwa uchache .Miaka Saba. 7 ijayo wanalunyasi hapo mmejaza maji kwenye pakacha,jaribuni Tena baadae 7miaka ijayo🤸🏃
 
M
IMG-20220721-WA0617.jpg


Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni hujuma dhidi ya yanga,ikiratibiwa na[emoji881]pamoja mbeleko yao t ef ef hata hivyo hamtatuweza mabingwa wa kihistoria ,ubingwa Tena kwenu hesabuni kwa uchache .Miaka Saba. 7 ijayo wanalunyasi hapo mmejaza maji kwenye pakacha,jaribuni Tena baadae 7miaka ijayo[emoji1732][emoji125]
Lunyasi inahusika vipi hapa??? Pambaneni kivyenu.
Hatuhitaji mtuhusishe kwenye vagaa lenu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom