Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Nilipoanzisha Uzi mapema leo nikiwa na uhakika wa 100% kuwa Haji Manara Wapumbavu kama akina sky soldier walinipinga na kuna wengine walitamani isiwe kama nilivyotabiri ili waje Wanishambulie na Wanicheke kuwa nimechemka.

MImi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' JamiiForums nzima na nimebarikiwa vingi na Mwenyezi Mungu.

Akhsante Mwenyezi Mungu kwa Tunu.

Wewe Jamaa kuna wakati Una madini balaa mpaka watesi wako humy wanakukubali (wanasema "Dish likitulia una madini jirani")

Sisi walike comment tunapita kimya kimya.
 
Unaelewa maana ya kuto kujishughulisha na mpira wa miguu?
Yaani hata akikuta watoto wanacheza chandimu mtaani anapaswa kupita mbali!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa km chiziiiii. Watu mna dhambi nyieee.
 
.
1658315850361~2.jpg
 
Naskia kila upande unaruhusiwa kukata rufaa

Haji manara anaruhusiwa kukata rufaa kama hajaridhishwa na maamuzi ya kamati

Lakini pia TFF nao wanaruhusiwa kukata rufaa ikiwa hawajaridhishwa na adhabu ya miaka miwili endapo kama wataona uzito wa kosa ulihitaji adhabu ya miaka 10 au maisha plus faini ya zaidi ya 20M ambayo imeamuliwa leo
 
Duuu, yule Msomali ni hatari kweli kweli, kwa kweli haji alikanyaga pabaya, RIP Haji!
Na hapo kaonewa aibu kwa vile alijisalimisha mapema na ndio ile miaka 5 au zaidi wakaihamishia kwenye faini kubwa otherwise angejuta.
 
Back
Top Bottom