The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Unaelewa maana ya kuto kujishughulisha na mpira wa miguu?Manara ataendelea ku uzungumzia mpira kama mwandishi na si kama Kiongozi.
Nilipoanzisha Uzi mapema leo nikiwa na uhakika wa 100% kuwa Haji Manara Wapumbavu kama akina sky soldier walinipinga na kuna wengine walitamani isiwe kama nilivyotabiri ili waje Wanishambulie na Wanicheke kuwa nimechemka.
MImi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' JamiiForums nzima na nimebarikiwa vingi na Mwenyezi Mungu.
Akhsante Mwenyezi Mungu kwa Tunu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa km chiziiiii. Watu mna dhambi nyieee.Unaelewa maana ya kuto kujishughulisha na mpira wa miguu?
Yaani hata akikuta watoto wanacheza chandimu mtaani anapaswa kupita mbali!
Sisi hatumtaki arudi kwenu utopoloAcha apumzike kidogo makelele yamezidi,akimaliza kifungo arudi kwao huko huko Kwa Mikia wenzie
Wewe una akiliMimi ni yanga ila Manara hana nidhamu
Wewe Jamaa kuna wakati Una madini balaa mpaka watesi wako humy wanakukubali (wanasema "Dish likitulia una madini jirani")
Sisi walike comment tunapita kimya kimya.
yaani wewe ni jitopolo kabisaManara ataendelea ku uzungumzia mpira kama mwandishi na si kama Kiongozi.
Na hapo kaonewa aibu kwa vile alijisalimisha mapema na ndio ile miaka 5 au zaidi wakaihamishia kwenye faini kubwa otherwise angejuta.Duuu, yule Msomali ni hatari kweli kweli, kwa kweli haji alikanyaga pabaya, RIP Haji!
Msamehe mkuu, hiyo ni dalili tosha ya yeye kuwa utopolo pro.yaani wewe ni jitopolo kabisa