Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bumbuli huko aliko, anakunywa kahawa na kashataa, yaan ana furaha mnooo.Bumbuli kesho ataamka saa nane mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizi.Wanamuonea kisa ALBINO.
Akate rufaa dhidi ya unyanyasaji wa MAALBINO.
Nilipoanzisha Uzi mapema leo nikiwa na uhakika wa 100% kuwa Haji Manara atahukumiwa Kifungo ( Mvua ) Wapumbavu kama akina sky soldier walinipinga na kuna wengine walitamani isiwe kama nilivyotabiri ili waje Wanishambulie na Wanicheke kuwa nimechemka.GENTAMYCINE je ni ya kweli haya ???
Mshahara wa mwezi wa 8 hauingii mfukoni mwake utapelekwa kwenye fainiSasa itakuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23] mikia bhana eti wana yanga,mnapenda kujitekenya sanaOgopa sana yani hadi wana Yanga wamefurahishwa na hii taarifa
Sisi makolo huyu hatumtaki, tuna concistence sio kama nyieAcha apumzike kidogo makelele yamezidi,akimaliza kifungo arudi kwao huko huko Kwa Mikia wenzie
Bumbuli ni mtu wise sana huwezi kumuweka katika viwango sawa vya kibusara na manaraBumbuli kesho ataamka saa nane mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ni adhabu, sio sawa na msamaha wa buree tyuuh.Adhabu ndogo sana iyoo