Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

Dah! Timu inazidi kuwa dampo la vichaa kila kunapokucha.
vichaa wanaotamba mitaani na jezi zao na makombe yote kabatini!

nani kichaa, tajiri au maskini?

hii mada ina lengo la kumchafua Manara ambae amehamasisha ubingwa ukaja Jangwani na wengine hatukubali na hilo.

in this world we are at war kila mtu anatafuta ugali kwa njia yake na Manara njia yake ndo hiyo kukera wanasimba!
 
Sijui kwanini namtamani Sana manara siku aje ajae kwenye kumi na nane zangu .
Simchukii kisa yupo yanga since yupo Simba ,jamaa ni mtu mmoja anayejiona special Sana yaan anaweza jibu yeyote hasa waandishi yaan amewafanya Kama watoto nao wanaka kimya.

Mtu unabaki unajiuliza huyu mwamba anaringia nini haswa je amejificha kwenye ulemavu au ni nini.

Niseme tu manara km upo hapa siku utakuja jaa tu kwangu na naombea snaa hili litokee .

Siku moja ntakuja kwenye mkutano wako na waandishi wa habar alafu ntakuuliza swali chokonozi lakin lenye ukweli Sasa ole wako uje uteme ngenga zako hiyo siku ndio utakua mwisho wako najua Sana unakua na mabordguard Ila hao hawatakua msaada kwako.
 
Quran si ndio hii inatumiwa na Al Shabab, Isis, Taleban na Boko haram?
 
Kama umefikia huku basi wewe ni KICHAA, HUNA AKILI, MWEHU, CHIZI.

Tambo za mpira ziko miaka na miaka, huwezi kuwa na akili timamu ukaanza kumtafuta mtu tena kwa lengo baya kisa maneno ambayo ni GENERAL kwa wote.

Kila siku mnaambiwa, mnapoolewa mtulie mlinde ndoa zenu, hizi hasira za kifala kapeleke huko kwenye chama chenu cha vikoba au mfanyie mumeo nyumbani na sio unakurupuka una attack watu kijinga.
 
Mkuu kupigana pesa ndefu siku hizi ndondi zinalipa bongo kwanza ungeandaa pambano na Twaha Kiduku umdunde kisha uzipange na Mwakinyo umchakaze kisha Pakiyao ummalize knock out first round ukafunge kazi na Mayweather kisha unaandaa Pambano na Manara siku ya tukio aka usiku wa vitasa ukimpigia cm inaita yuko Burundi!!

Kweli amekukera sana pole boss kumbuka " kipato huleta majivuno" Msemaji wa Kolo FC anapenda sana huu msemo!! Manara kapata atawakera msimu mzima zoeeni tu!
 
So ndio Karia hata Kama ni Simba asigombane na akina bumbuli miaka yoote aje agombane na Haji?
 
Msemaji wa mabingwa kolo fc wanakuwinda wanasema umegeuka Mali 🏃
 
Vile MAKOLO wanavyoteseka na YANGA mwaka huu kwa kukosa kombe hata moja ilihali YANGA kaweka vyote kabatini [emoji3]
Ana nini cha ajabu Yanga cha kufanya hao makolo wateseke. Tumeiona timu yako, huna timu ya kwenda kucheza Ligi ya Mabingwa ww. Subiri uone.
 
Kwa hiyo hapo ndo wamezozana..!! Dah..!
Angalia vyema. Kama unamjua manara vizuri angalia body language yake. Mwanglie na Karia tendo la kunyoosha kidole linaashiria nn ktk mazingira hayo. hebu shirikisha akili acha mihemko. tumia akili
 
Karia hana ujanja mbele ya GSM amekula hela yao nyingi hili litapita kimya kimya tu. Haji kinachomsumbua ni uvutaji wa bangi na kutaka kulazimisha kukubaliwa na wanayanga.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haji sio mjinga kuna jambo watakuwa wamemuudhi.

Wanayanga tutaendelea kusimama na haji.

# Haji Makombe.

# Haji Matrophy

# Shareef el Buggatti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…