Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

Acha USHAKUNAKU... Kama kweli weka video na tusikie namna wakitupiana maneno
 
uliona wapi mtu akagombana na mti?

shuleni ukishitaki kwa ticha umepigwa na mwenzako anaitwa na mnapigwa wote viboko unajua kwanini? binadamu hakasiriki bila kuchokozwa!

Karia tunajua ni Kolo FC kachukia mno Wananchi kuchukua ndoo zote kashindwa kujizuia hasira zake kamchokoza Manara kakutana nazo za uso! shida iko wapi show show akuanzae mmalize!!

Kama wewe mtoa mada ni Kolo FC na unaona kosa hapo basi ni wote wamekosea na waadhibiwe wote sio Manara peke yake maana maana mtu ana raha zake kashinda Karia unamchokoza why? Huku Afrika ndio mmebaki na ujinga eti mkubwa hakosei na ndo maana tumejaa umaskini kosa ni kosa tu hakuna cha mkubwa wala mdogo adhabu inashukia wote!!

Who is Karia by the way?

Karia ni Kolo FC hafai atupishe tu maana Taifa Stars inafungwa tu wanacheza ovyo ovyo na Karia hana akili ya mpira wala habadili kocha, si bora tumuajiri Nabi kama Mshauri wa Taifa Stars awe anakaa kwenye benchi kusaidia ushauri wa Super Sub Denis Nkane aka Ole Gunner Solskjær aliemlaza Sopu na viatu! !

Msemo wangu huu ukiufikiria utajionea maajabu!

"The fall of Simba has many colours"!!

bado kuna mengine mengi yanakuja wanasimba wamejaa hasira ghadhabu chuki hawaeleweki wanafukuza makocha na wachezaji klabuni, wanatukana viongozi wao kina Barabarani na Mooo , wanagombana na kila mtu mitaani na viwanjani wengine ndo hawa kina Karia, wanagombana sana huko vibanda umiza, wanatukana kila mtu hadi watoto yaani haya makombe kuwanyang'anya imeleta shida sana bora tungewaachia tu Makolo FC yaani wameumia sana mwaka huu wanaumwa na ukiongea sana kuhusu Mayele karibu yao bila ulinzi wa baunsa unaweza kuambulia kichapo aka makonde mazito ya Twaha Kiduku!
Daaaahhhh!!!!....Andiko la Kijinga limeandikwa na Mjinga.
 
vichaa wanaotamba mitaani na jezi zao na makombe yote kabatini!

nani kichaa, tajiri au maskini?

hii mada ina lengo la kumchafua Manara ambae amehamasisha ubingwa ukaja Jangwani na wengine hatukubali na hilo.

in this world we are at war kila mtu anatafuta ugali kwa njia yake na Manara njia yake ndo hiyo kukera wanasimba!
Tumia akili ya Mjinga kujinufaisha...Utopolo ujinga umewajaaa adi mpo ktk level ya wapumbavu.
 
Daaaahhhh!!!!....Andiko la Kijinga limeandikwa na Mjinga.
Mjinga ni mtu asiejibu hoja kama wewe! Hoja hujibiwa kwa hoja we ni mgeni humu una kamba mguuni!

Mjinga ni yule asieonesha ujinga ulipo!

Mjinga hajijui nae huona wengine ndo wajinga!
 
Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea.

Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini hana nidhamu wakati amesoma madrasa na Quran anaijua vzr sana, dini anaijua lakini mshkaji hana hekima, hana adabu, hana haya, anajiona mjuaji, yeye yuko tayari kumvunjia heshima babake au ndugu yake yoyote isipokuwa G.M tu, yaani wale wanaomlipa mshahara ndio anawaona wa maana sana kuliko wengine, huyu jamaa mwisho wake utakuwa mbaya sana.

Karia, nakushauri mpeleke kamati ya maadili mtu huyu, heshima yako Leo imepungua sana jukwaani, umedhalilishwa mbele ya waziri wa afya, mbele ya mkuu wa mkoa wa Tanga na viongozi wengine.Pole sana Karia.
Acha umbea jenga hoja weka video clip
 
Yaani hicho chuo cha kuzalisha wajinga huko Utopolo kinapiga kazi kinoma,idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana.
Ngao ya jamii tunawapasua tena ili mseme utopolo wapumbavu plus😀!
 
uliona wapi mtu akagombana na mti?

shuleni ukishitaki kwa ticha umepigwa na mwenzako anaitwa na mnapigwa wote viboko unajua kwanini? binadamu hakasiriki bila kuchokozwa!

Karia tunajua ni Kolo FC kachukia mno Wananchi kuchukua ndoo zote kashindwa kujizuia hasira zake kamchokoza Manara kakutana nazo za uso! shida iko wapi show show akuanzae mmalize!!

Kama wewe mtoa mada ni Kolo FC na unaona kosa hapo basi ni wote wamekosea na waadhibiwe wote sio Manara peke yake maana maana mtu ana raha zake kashinda Karia unamchokoza why? Huku Afrika ndio mmebaki na ujinga eti mkubwa hakosei na ndo maana tumejaa umaskini kosa ni kosa tu hakuna cha mkubwa wala mdogo adhabu inashukia wote!!

Who is Karia by the way?

Karia ni Kolo FC hafai atupishe tu maana Taifa Stars inafungwa tu wanacheza ovyo ovyo na Karia hana akili ya mpira wala habadili kocha, si bora tumuajiri Nabi kama Mshauri wa Taifa Stars awe anakaa kwenye benchi kusaidia ushauri wa Super Sub Denis Nkane aka Ole Gunner Solskjær aliemlaza Sopu na viatu! !

Msemo wangu huu ukiufikiria utajionea maajabu!

"The fall of Simba has many colours"!!

bado kuna mengine mengi yanakuja wanasimba wamejaa hasira ghadhabu chuki hawaeleweki wanafukuza makocha na wachezaji klabuni, wanatukana viongozi wao kina Barabarani na Mooo , wanagombana na kila mtu mitaani na viwanjani wengine ndo hawa kina Karia, wanagombana sana huko vibanda umiza, wanatukana kila mtu hadi watoto yaani haya makombe kuwanyang'anya imeleta shida sana bora tungewaachia tu Makolo FC yaani wameumia sana mwaka huu wanaumwa na ukiongea sana kuhusu Mayele karibu yao bila ulinzi wa baunsa unaweza kuambulia kichapo aka makonde mazito ya Twaha Kiduku!
Kipindi cha nyuma ulikuwa uwezi kukuta jitu kama hili JF,hizi simu za mia mbili zimeleta mijitu ya hovyo sana,yaani kuna muda unasoma nyuzi hapa JF unabaki unajiuliza kama uyu mtu ana kichwa au anatumia matakooo
 
kwani wewe unatumia matakooo makubwa au madogo kufikiri? jibu hoja m*bwa jike wewe!

unataka wote tufikiri kama kichwa chako? tangu lini mwananchi akaandika kitu cha kumpendeza Kolo FC? unataka tuandike kukufurahisha wewe? sahau!

Wachezaji wa Yanga uliona cm zao kubwa wakipiga picha kombe Arusha? basi na mashabiki pia cm zetu ni kubwa siku ingine ficha upumbavu wako huwezi kujua mtu anatumia cm gani wakati hujaiona kama natumia kompyuta unajuaje? wewe ni wa zamani JF unavyojinasibu ila haijakusaidia kuwa miongoni mwa great thinkers!

hasira za kukosa makombe na kupasuliwa CCM Kirumba msituletee JF!
 
Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea.

Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini hana nidhamu wakati amesoma madrasa na Quran anaijua vzr sana, dini anaijua lakini mshkaji hana hekima, hana adabu, hana haya, anajiona mjuaji, yeye yuko tayari kumvunjia heshima babake au ndugu yake yoyote isipokuwa G.M tu, yaani wale wanaomlipa mshahara ndio anawaona wa maana sana kuliko wengine, huyu jamaa mwisho wake utakuwa mbaya sana.

Karia, nakushauri mpeleke kamati ya maadili mtu huyu, heshima yako Leo imepungua sana jukwaani, umedhalilishwa mbele ya waziri wa afya, mbele ya mkuu wa mkoa wa Tanga na viongozi wengine.Pole sana Karia.
Ila ninyi mbumbumbu mnaboa sana
 
kwani wewe unatumia matakooo makubwa au madogo kufikiri? jibu hoja m*bwa jike wewe
hasira za kukosa makombe na kupasuliwa Kirumba msilete JF!
Una upungufu wa malezi,inavyoonekana umelelewa katika shida nyingi sana,na una maisha magumu mno,hivyo furaha yako ni kutukana watu usiowajua kwenye mitandao.

Kisaikolojia watu waliolelewa katika hali ngumu ya maisha na wenye maisha magumu na wasio na elimu ya kutosha, uku wakinyanyaswa kingono kama kulawitiwa nk huwa wana matusi na sonona kali wanaweza hata kujiua,ili kupunguza hali hio uwa wanatukana watu, au wanaweza hata kumrushia mawe mtu yeyote barabarani uwa wanakuwa kama mbwa wenye vichaa!
Pole sana ndugu mueleze mtu unae muamini hali yako unaweza kupata msaada,jambo lingine tafuta hata vibarua vyovyote ufanye najua ni ngumu kupata kutokana na hali yako na elimu yako kuwa ndogo ila unaweza kupata hata vya kuzibua chemba za maji machafu kariakoo.
 
Mzungu Pori kashajaa kwenye kumi na nane za Karia. Qmmk atajuta.
 
Attachments

  • IMG_20220703_104024.jpg
    IMG_20220703_104024.jpg
    93.1 KB · Views: 8
Bila shaka karia alichokoza haji.

Haji hawezi kukuzingua hadi uingie 18 zake.
 
Amepost Insta kujidefend na kuanza kumtisha JEMEDARI na EFM.Mungu si Athumani TFF wamebutua mpira🤣🤣🤣
 
Una upungufu wa malezi,inavyoonekana umelelewa katika shida nyingi sana,na una maisha magumu mno,hivyo furaha yako ni kutukana watu usiowajua kwenye mitandao.

Kisaikolojia watu waliolelewa katika hali ngumu ya maisha na wenye maisha magumu na wasio na elimu ya kutosha, uku wakinyanyaswa kingono kama kulawitiwa nk huwa wana matusi na sonona kali wanaweza hata kujiua,ili kupunguza hali hio uwa wanatukana watu, au wanaweza hata kumrushia mawe mtu yeyote barabarani uwa wanakuwa kama mbwa wenye vichaa!
Pole sana ndugu mueleze mtu unae muamini hali yako unaweza kupata msaada,jambo lingine tafuta hata vibarua vyovyote ufanye najua ni ngumu kupata kutokana na hali yako na elimu yako kuwa ndogo ila unaweza kupata hata vya kuzibua chemba za maji machafu kariakoo.
sindano na dawa vimeingia! we ndo una sonona umeanza matusi! sina shida ya pesa wala kazi na mahusiano!nina hakika nimekuzidi elimu na exposure! wala hujui niko wapi!
 
Back
Top Bottom