Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

Haji hajatumia busara kabisa,angenyamaza ingependeza zaidi pia akumbuke Kuna kesho maisha yanaendelea.Leo anawakashifu watu kama moo lakini akumbuke kesho atawahitaji haohao wamsaidie.
Kwa akili yako ya kuvukia barabara unaona kawakashifu lkn kwa wenye akili tumemuelewa sana msemaji wa nchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Natumia fursa hii kuomba radhi kwa wote walioshauri afukuzwe nikawabishia..Huyu jamaa ni punguani
Kimeumana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] semaji la nchi limesema we ni nani mpaka upinge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Manara hajazungumza kuwa target mashabiki ..
Kuna watu maalum kawa target..
Watu wenye nguvu ya kuamua..
Mambumbumbu wangekuwa na akili Kama zako wasingeshabikia janja janja ya mo
 
Manara mshamba sana tena hafai kuajiriwa maana Jokofu lake wala haligandishi na atakayekubali kumchukua manara basi yatamkuta yaliyomkuta simba
Mwanaume lazima ujue kutunza siri syo kubwabwaja tu
Wale ambao hawaendeshi club kimagumashi watamchukua.
 
Ndoto ya mwendawazimu hiyo. Maneno ya mropokaji, msaliti na mpuuzi hayawezi kuiangusha Simba. Najua uwekezaji wa Mo Simba umekuwa mwiba mchungu kwenu Utopolo, mtasubiri sana anguko la Simba.
moo katangaza kuondoka simba umeyasikia hayo lakini ha ha ha ha mnaludi kule kuleeee mtapiga ndondo sana kutafuta hela
 
Poleni sana bodi ya Simba joka mlilofuga wenyewe linaendelea kuwatafuna. Miaka mitatu/minne iliyopita sisi tuliokuwa tunaona mbali tuliwashauri hapa jamvini mumtimue huyo Manara wenu lakini hamkutuelewa na kuna wanajamvi walituzodoa hapa haya sasa yametimia. Lakini hongereni kwa kuchukua maamuzi magumu japo yamechelewa...
Ukimaliza kuota wahi washroom usijekojoa kitandani
 
Shida ya Manara ni kuinua mabega juu.
Yaani kujikweza tu basi.

Angekuwa mnyenyekevu Angekula sana pesa za Matajiri.

Kuna mambo yanahitaji subira ili kukaa sawa.
Manara anataka kila dukuduku yake itatuliwe leo leo.
Current anakula sana fedha za matajiri kama ulikua hujui
 
moo katangaza kuondoka simba umeyasikia hayo lakini ha ha ha ha mnaludi kule kuleeee mtapiga ndondo sana kutafuta hela
Kama ni kweli aondoke anatabia za kuzira kama mwanamke na hii inadhihirisha aliyoyasema manara ni kweli ndo maana umemuuma
 
Manara amepata umaarufu kupitia uwekezaji na jitihada za Mo. Halafu anautumia umaarufu huo kutangaza bidhaa za wafadhili wa Yanga. So unfair
 
Inasikitisha sana. amepata umaarufu kupitia uwekezaji na jitihada za Mo. Halafu anautumia umaarufu huo kutangaza bidhaa za wafadhili wa Yanga. So unfair
 
Manara amepata umaarufu kupitia uwekezaji na jitihada za Mo. Halafu anautumia umaarufu huo kutangaza bidhaa za wafadhili wa Yanga. So unfair
Yaan ukisikia kuchonga kinyago halafu kikutishe ndo hivi
 
Back
Top Bottom