Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wadau Naomba Kuuliza
Haji Manara ana HISA ngapi KLABU ya SIMBA?
Haji Manara ana HISA ngapi KLABU ya SIMBA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0.00000Wadau Naomba Kuuliza
Haji Manara ana HISA ngapi KLABU ya SIMBA?
Hata angekuwa anayoyasema ni kweli tatizo lipo wapi?Haji manara hana hisa,
Lakini je anachozungumza ni UONGO au ni UKWELI?
Usitazame nani kasema, TAZAMA nini kasema
Yule kaanza kuihujumu tangu siku nyingi! Hasa kwenye metch za DerbyHaji manara hana hisa,
Lakini je anachozungumza ni UONGO au ni UKWELI?
Usitazame nani kasema, TAZAMA nini kasema
Same to you. Hivyo punguza kelele0.00000
Vipi mbona unadandia gari kwa mbele bila kujua liendako?Same to you. Hivyo punguza kelele
Vipi mbona unadandia gari kwa mbele bila kujua liendako?
Leo ndugu yako kadhihilisha niliyowambia kwenye Uzi! Aliihujum sana simba Hasa mechi za Derby! Aliprnyezewa mlungula sanaVipi mbona unadandia gari kwa mbele bila kujua liendako?
Tatizo lilikuwa manaraManara alijivika ngozi ya Simba ukweli alikuwa yanga.
Mechi ya duru la pili Kati ya Simba na yanga alifungisha kwani hata Lile goli lilitengenezwa ,. Kapombe alielekezwa azuie kwa kifua huku akielekeza golini kwake na kujifunga. Hayo yalikuwa maelekezo ya haji manara baada ya kuchukua hela yanga.
Kama C.E.O wa Simba na uongozi wote wasingeshitukia huo mchezo fainali ya FA,Simba SC ilikuwa inafungwa.
Nashauri kapombe auzwe.
Kivipi?Manara kaifanya Simba iwe club ya kitofauti nchini
Kupigwa kwa ajili ya MSEMAJI?..kuwa serious kidogo bi dadaIla kawavua nguo simba na kama ni kweli aliyosema soon simba inaenda shimoni yanga itakua inajipigia tu kama zamani
Timu inachangamshwa na matokeo boss..hata uwe na wasemaji kama Manara 100 kama hupati matokeo uwanjani kazi bure.Simba itapoa, Manara alikua anaichangamsha....
Kwa jina hilo unalojiita humu,hakuna wa kubishana nawe mkiua hamshtakiwi nyny.Siku ukifanya kazi kwa muhindi utaelewa alichokisema Manara. Kiufupi Mo ni tapeli. CAG akakague hesabu za simba. Yaliyomkuta Manara ni mambo ya wahindi. Wahindi wanapenda kudhurumu ngozi nyeusi.
Mkuu, ni kweli. Hata hiki ulichokiandika, sidhani kama atakuelewa!Kwa jina hilo unalojiita humu,hakuna wa kubishana nawe mkiua hamshtakiwi nyny.