Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

Kwani Simba kuna hisa pale si ujanja ujanja tuu...MO anatoa hela baada ya Timu kufika mbali champions league na kuanza kuuza wachezaji...
 
Haji manara hana hisa,
Lakini je anachozungumza ni UONGO au ni UKWELI?

Usitazame nani kasema, TAZAMA nini kasema
 
Haji manara hana hisa,
Lakini je anachozungumza ni UONGO au ni UKWELI?

Usitazame nani kasema, TAZAMA nini kasema
Yule kaanza kuihujumu tangu siku nyingi! Hasa kwenye metch za Derby
 
Manara kaihujumu sana simba kuanzia keizer chief na baadhi ya mechi za Derby alikuwa akipewa hela kuwapa kina chama na wengine kama mshenga ili wacheze chin ya kiwango
 
Vipi mbona unadandia gari kwa mbele bila kujua liendako?
Leo ndugu yako kadhihilisha niliyowambia kwenye Uzi! Aliihujum sana simba Hasa mechi za Derby! Aliprnyezewa mlungula sana
 
Manara alijivika ngozi ya Simba ukweli alikuwa yanga.
Mechi ya duru la pili Kati ya Simba na yanga alifungisha kwani hata Lile goli lilitengenezwa ,. Kapombe alielekezwa azuie kwa kifua huku akielekeza golini kwake na kujifunga. Hayo yalikuwa maelekezo ya haji manara baada ya kuchukua hela yanga.
Kama C.E.O wa Simba na uongozi wote wasingeshitukia huo mchezo fainali ya FA,Simba SC ilikuwa inafungwa.
Nashauri kapombe auzwe.
 
IMG-20210824-WA0115.jpg
 
Tatizo lilikuwa manara
 
Siku ukifanya kazi kwa muhindi utaelewa alichokisema Manara. Kiufupi Mo ni tapeli. CAG akakague hesabu za simba. Yaliyomkuta Manara ni mambo ya wahindi. Wahindi wanapenda kudhurumu ngozi nyeusi.
Kwa jina hilo unalojiita humu,hakuna wa kubishana nawe mkiua hamshtakiwi nyny.
 
Back
Top Bottom