MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nilikuja na Uzi hapa Wiki iliyopita kuhusu kuambiwa Jambo na Wazee Wanne wa Klabu Moja juu ya Hasira yao Kali kwa Msukule mpya wa Jangwani ila wengi wenu kama kawaida mkanipuuza ila walichoniambia walikuwa wanakimaanisha na Kauli yao ya mwisho Kwangu ni kwamba ndani ya Siku Saba alitakiwa akaombe Msamaha na zikipita Wasilaumiwe na nadhani Kazi ndiyo wameshaianza hivyo.😱 unafurahi mwenyewe
Tafadhali Haji Manara najua Umenikera vya kutosha tafadhali Watafute upesi hao Wazee Wanne uwaombe Msamaha kwa uliyoyafanya na Mmoja wao yupo Magomeni ( na unamjua sana ) vinginevyo yatakupata makubwa zaidi kwani niliambiwa Mazito zaidi.Misukule Football club wazee wa comeback poleni Kwa mchambaji wenu
Na kuna uwezekano pia Haji Manara baada ya kuona Jana ameanza na Nuksi huko Yanga SC na alizomewa hadi Kutukanwa vibaya na Mashabiki wa Yanga SC sasa ili Kufunika na Kutuzuga ameona aje na hili la Ajali ili tusijadili ya Jana.Swala la kufungwa limeachwa tayari
Tusifike huku Ndugu ila aje aombe Radhi.bora angekufa
Mwambieni Mightier wa JamiiForums namwambia Haji Manara upesi sana awatafute hao Wazee Wanne na Mmoja wao ni wa Magomeni na anamjua akamuangukie vinginevyo kuna nililoambiwa nao dalili zake naanza Kuziona hadi nami ninaogopa sasa.Pole sana kwa Hajji
bora angekufa
Mwambieni Mightier wa JamiiForums namwambia Haji Manara upesi sana awatafute hao Wazee Wanne na Mmoja wao ni wa Magomeni na anamjua akamuangukie vinginevyo kuna nililoambiwa nao dalili zake naanza Kuziona hadi nami ninaogopa sasa.
Sasa na we unatesekea ukiwa upande gani?Nilikuja na Uzi hapa Wiki iliyopita kuhusu kuambiwa Jambo na Wazee Wanne wa Klabu Moja juu ya Hasira yao Kali kwa Msukule mpya wa Jangwani ila wengi wenu kama kawaida mkanipuuza ila walichoniambia walikuwa wanakimaanisha na Kauli yao ya mwisho Kwangu ni kwamba ndani ya Siku Saba alitakiwa akaombe Msamaha na zikipita Wasilaumiwe na nadhani Kazi ndiyo wameshaianza hivyo.