Haji Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo

Haji Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo

Mashabiki wa Simba mna hasira na Manara kweri-kweri,
At least mmepata mtu wa kuwashuhulisha, sisi tupo busy na busness.
 
HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya".

"Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na kusababisha kuharibika vibaya gari yangu." ameandika kwenye akaunti ya Instagram.
Picha ya gari?
 
Kha! Sijui unafananaje🙂🙂

2887909_689a4b87020756d55da20ff71a0e3426.jpeg
 
Hakuna picha,sanasana atatoa ile ajali ya dodoma,anataka kutoa aibu ya kuzomewa jana na domo lake lile
Hongera Ndugu na huu ndiyo Ukweli mtubu. Kuna Uzi nimeanzisha kuomba PT ( Police Tanzania ) wamkamate kwa Uwongo na huu Uzushi wake kwani kuna Mtu wake wa karibu pale Kwake Mikocheni kasema Haji Manara ni Muongo na wala hajapata Ajali yoyote ile.
 
Nilikuja na Uzi hapa Wiki iliyopita kuhusu kuambiwa Jambo na Wazee Wanne wa Klabu Moja juu ya Hasira yao Kali kwa Msukule mpya wa Jangwani ila wengi wenu kama kawaida mkanipuuza ila walichoniambia walikuwa wanakimaanisha na Kauli yao ya mwisho Kwangu ni kwamba ndani ya Siku Saba alitakiwa akaombe Msamaha na zikipita Wasilaumiwe na nadhani Kazi ndiyo wameshaianza hivyo.
Acha mawazo ya kichawi chawi

anyone can get accidents
 
Back
Top Bottom