Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Picha ya gari?HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya".
"Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na kusababisha kuharibika vibaya gari yangu." ameandika kwenye akaunti ya Instagram.
Pole ya nini hakuna ajali liongo lilee
Huyu kateleza chooni nini? mbona yuko hivi.
YukojeHuyu kateleza chooni nini? mbona yuko hivi.
Hongera Ndugu na huu ndiyo Ukweli mtubu. Kuna Uzi nimeanzisha kuomba PT ( Police Tanzania ) wamkamate kwa Uwongo na huu Uzushi wake kwani kuna Mtu wake wa karibu pale Kwake Mikocheni kasema Haji Manara ni Muongo na wala hajapata Ajali yoyote ile.Hakuna picha,sanasana atatoa ile ajali ya dodoma,anataka kutoa aibu ya kuzomewa jana na domo lake lile
Halafu Serikali na PT wanamchekea tuManara ana ujinga mwingi sana
Daa dekii huyu ndie Mdume aka Hamza
Wewe humuoni muangalie tena na tena .HalooooYukoje
Wewe humuoni muangalie tena na tena .Haloooo
ππππππ
Acha mawazo ya kichawi chawiNilikuja na Uzi hapa Wiki iliyopita kuhusu kuambiwa Jambo na Wazee Wanne wa Klabu Moja juu ya Hasira yao Kali kwa Msukule mpya wa Jangwani ila wengi wenu kama kawaida mkanipuuza ila walichoniambia walikuwa wanakimaanisha na Kauli yao ya mwisho Kwangu ni kwamba ndani ya Siku Saba alitakiwa akaombe Msamaha na zikipita Wasilaumiwe na nadhani Kazi ndiyo wameshaianza hivyo.
We dada unawashwa sana si bure halafu si mzima wewePole sana kwa Haji Manara