Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Akimtolea uvivu Feisal Salum baada ya kiungo huyo wa Yanga SC kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya kulipia gharama za kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) Ni aibu kubwa kwa Nchi ni fadhaa na kulikosea Taifa hili, Kwa mara nyingine tena Fesal Salum anashiriki kuihujumu Yanga Waziwazi bila haya.

Tupo karibu kabisa na finali kubwa mbele yetu,Rais Wa Nchi yupo busy mara kwa mara kuhamasisha watanzania, Bunge kupitia Waziri Mkuu wanahamasisha, Wakuu wa mikoa ndio kama mnavyosikia.Kisha anatokea Binadamu anaepotoshwa na Watu wale wale kila tunapokaribia mechi kubwa kutuletea mjadala wa jambo lake binafsi lisilokuwa na chembe ya maslahi ya Taifa kutuletea choko choko.

Hivi hii sio hujuma ya kusudi kwetu na kwa nchi? Mawakili wake,Mameneja wake na hata Radio zinazopush agenda yake kipindi hiki tukisema wanatuhujumu kusudi tutakuwa tunakosea?Kwanza anachangisha nini wakati majuzi tu kaleta Milioni Mia ya kuvunja mkataba?

Kwa nn asichukue ile Vits Ya Dalali wake akauza ili aende CAS?Fesal unaendelea kutengeneza ufa ndani ya mioyo ya wengi, Yanga hii unayotafuta huruma mitandaoni ndio iliyokulea na kukupa jina unalosafiria nalo hivi sasa, Yanga hii hii ndio ilipokufanya uwe na hilo jina ambalo hao wanaokudanganya leo walikujulia hapa.

Mbaya zaid Mchambuzi mpumbav yule yule toka Radio ile ile yupo front kuendelea kukupotosha, Taifa linasulubiwa kwa sababu yako Fei, Nchi ipo katika vita ya ubingwa,wew unashiriki vita yako ya huruma za kinafik.Unasema eti mama yako alitukanwa, yy na Yanga nani kamtusi mwenzie?

Kutwambia ulikuwa unakula Ugali na Sukari sio matusi na dhihaka kwetu,Ni kweli mara nyingi umekuwa unatufanyia hv kila tunapokaribia mechi kubwa, lakini kwa mechi hii nathubutu kumwambia wazi wazi ww ni Mhujumu unaetumika bila kujijua,Ww ni Msaliti, Ww sio Muungwana hata chembe, unaihujumu Yanga na unawahujumu Wachezaji wenzio mlioishi naoWhy usisubiri mechi iishe? Why iwe leo?

Na kwa nn kila mechi yetu kubwa unarudia drama zako?Tushinde tushindwe hupati hata medali moja, mjinga sana ww Mtoto, unafanya hvyo kwa maslahi gani? Yanga imekukosea nn cha Ziada hadi uwe unatufanyia hvyo na huyo Shankupe wako muuza na nywele za maiti?Umetutafuta mara nyingi lakini hii ni too much, hujali kabisa kuhusu heshma ya nchi yako kisha eti unataja Team za Taifa! Zipi hzo wakati ww unahujumu maslahi ya Taifa kusudi.

6A60BC1E-CC10-4550-AE3E-51321CF0622E.jpeg
 
Huyo naye ana ujinga fulani hivi wa kujidai yupo front line kwenye kila kitu ambacho kinahusu Yanga kuliko hata wenye Yanga yao

Kumlalamikia Feisali kuwa kila ifikapo mechi kubwa ye anaibua mjadala mpya ni hoja ambayo ameikua akiizungumza mara kwa mara.

Lakini anasahau kuwa Yanga ndio waliokuwa wakwanza kuibua mjadala kwa kuja na mashtaka dhidi ya Feisali kwa kumripoti kwenye kamati ya maadili.
 
Mama anakazi ya ziada yakuwafanya ktk nchii maana kilaa mtu anamliliaa yy ,,,fei kapambana na mahakama na yanga yamemfika hapa kaona isiwe kesi ngoja atafute huruma kwa mama maana anajua n mzanzibari mwenzie atamsikiaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo naye ana ujinga fulani hivi wa kujidai yupo front line kwenye kila kitu ambacho kinahusu Yanga kuliko hata wenye Yanga yao....
Mkuu hii habari inakupa faraja sana eeh?? Watu wa Simba mpo makini sana kufatilia saga hili la Feitoto na Yanga kuliko hata kutoa michango positive kuhusu wapi timu yenu ielekee ili mwakani nanyie muwepo miongoni mwa finalists wa Cafcl & Cafcc
 
Angalia kwenye mada za Simba fatilia maoni yetu.

Hapa inajadiliwa hoja kuhusu Feisali na Manara hivyo kutegemea kuona maoni kuhusu mipango ya Simba ni kuonesha dharau kwa mtoa mada na kwa kadamnasi kiujumla.
 
Hoja yangu ni kwanni upo interested sana na hii ishu ya Feisal na Yanga? Je Una maslahi nayo?
 
Huyo naye ana ujinga fulani hivi wa kujidai yupo front line kwenye kila kitu ambacho kinahusu Yanga kuliko hata wenye Yanga yao

Kumlalamikia Feisali kuwa kila ifikapo mechi kubwa ye anaibua mjadala mpya ni hoja ambayo ameikua akiizungumza mara kwa mara.

Lakini anasahau kuwa Yanga ndio waliokuwa wakwanza kuibua mjadala kwa kuja na mashtaka dhidi ya Feisali kwa kumripoti kwenye kamati ya maadili.
Wewe hujioni?
 
Ok mchambuzi, vipi maoni yako je Unaona Feitoto akienda kupindua meza huko CAS?
Wengi wameniuliza maswali kama haya.

Na pindi napowajibu ndio hapo ambapo wewe unaanza kuniona mimi kama nina maslahi na hii kesi kwasababu nipo interested sana.

Pengine maswali kama haya yangepungua au kusingekuwa na mtu yeyote anayekuja kuni quote, pengine usingeweza kufika huko kiasi cha kuniona nina maslahi kwenye hii kesi.

Sasa unanipa wakati mgumu kwasababu naona kama unazidi kunihesabia idadi ya mijadala inayohusu Feisali ambayo nimejitokeza kuchangia, ili baadaye useme mi ni mfuatiliaji sana wa hii kesi.
 
Back
Top Bottom