Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

Fei amechanganyikiwa.

Nikikumbuka yale ya Wydad na Msuva, Wydad wakabeba kombe Msuva akiwa ameissusa timu yake ya Wydad.

Yaani Msuva angemalziia yale mashindano na kubeba lombe soko lake lingekuwa kubwa, mayokeo yake amsekwenda Uarabuni kusataafia soka lake.

Naiona Yanga wakibeba kombe la Shirikisho mwaka huu.
 
Huyu kimwagaudugu mbona naye aliwahi kuchangiwa,aache noma
FB_IMG_1685081786824.jpg
 
Mungu amtie nguvu lakini Yanga ni jitu kubwa saaaana hawezi kupambana nalo
 
Lakin mbona Yanga ndio imeanza Kwa kumuita kamati ya nidhamu kwanini wasingesubiri mechi zipite ndio yaje mambo ya kuitana kamati ya nidhamu. Au Yanga kupiga hatua mbele Kwa fei kipindi hiki ni sawa na fei kupiga hatua sio sawa. Naona Yanga kama timu wangetulia finali zipite ndio waanze kumuita kamati ya nidhamu

Hoja jadidi sana hii.
 
Kama utopolo wana jambo lao, na Fei ana jambo lake, Manara aache kuingilia maamuzi ya wengine.
 
Na kwanninni nawe. usiwe mjinga kwa kuwa front kumshutumu mwenzio?!?

Huyo naye ana ujinga fulani hivi wa kujidai yupo front line kwenye kila kitu ambacho kinahusu Yanga kuliko hata wenye Yanga yao

Kumlalamikia Feisali kuwa kila ifikapo mechi kubwa ye anaibua mjadala mpya ni hoja ambayo ameikua akiizungumza mara kwa mara.

Lakini anasahau kuwa Yanga ndio waliokuwa wakwanza kuibua mjadala kwa kuja na mashtaka dhidi ya Feisali kwa kumripoti kwenye kamati ya maadilii
 
Back
Top Bottom