Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

Sawa
 
Kesho ya feisal.ipo mikononi mwa yanga

Kijana angejishusha tu na kuomba msamaha hakika angesikilizwa sikio halizid kichwa

Tuliaminishwa wazanzibar n wataratibu lakn feitoto anataka kuwaharibia wenzake

Wenzake wapo fainali Sasa wanaitwa majemedari wakweli huku yeye akiitwa MSALITI
 
Haji Manara ni shabiki wa damu wa Simba. Ipo siku yako na wewe inakuja Yanga utaiona ilivyo chungu. Utarudi kwa wenzio Simba na jicho moja.
Makolo huwa mnapenda kujipa moyo, eti ni shabiki wa Simba[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Makolo huwa mnapenda kujipa moyo, eti ni shabiki wa Simba[emoji13][emoji13][emoji13]
Mbona lipo wazi Manara ni shabiki wa damu wa Simba kaipigania Simba kwa mapenzi yote ikiwa hoehae akifanya kazi kwenye changamoto nyingi. Hayo mapenzi kwa Yanga akiwa na miaka 50 yanakuwaje mbona ni suala la kawaida kutambua Manara ni shabiki wa Simba aliye Yanga kupiga hela zikiyeyuka anarudi club yake ya tangia utotoni.

Bila Ghalib huyo kipapa tungeshampasua kitambo tu na asingekanyaga Yanga mwenyewe anajua ilo vizuri tu.
 
Huyu Manara hana akili timamu , kwa hiyo Feisal aache ratiba zake kisa Yanga wana mechi?
Wao jana wamemshitaki TFF mbona hawasemi wanajihujumu? Hoja za kipuuzi hizo

Feisal achangiwe au asichangiwe ishu ni kwamba atafanikisha kufikisha kesi yake CAS sasa habari za auze Vitz au achukue zile milion 100 alipe ni mambo binafsi , unajuaje zile milion 100 bado zipo? Watu hutumia pesa zao hivyo kama humchangii wewe acha wengine watamchangia.

Tena mie nachanga leo kijana akashinde au kushindwa mbele huko
 
Huyu jamaa kila kitu lazima atie neno hawezagi kukaa kimya ndio maana alitaka kuita mpaka press ya kutaka kumjibu mke wake wakubwa waka mkanya manara anajifanyaga much know sana.
Upo sahihi hili jamaa linazungumza kama nani na lilishafungiwa masuala ya Yanga yanaongelewa na viongozi wa Yanga si mtu aliyefungiwa na TFF na hadi muda huu keshachangiwa pesa zaidi 150m sasa anaingilia vp mechi ya fainali ya Yanga mbona havina uhusiano
 
Hayo ni maneno mbofu mbofu ya kujifariji tu, Watanzania wote tunajua kuwa Haji Manara ni shabiki na Msemaji wa Yanga

Hayo mengine ni yakwako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unawajua watanzania wewe? 150M acha mzaha
 
Nasikia yellow man a.k.a Haji manara nati zimepungua kichwani maana anaongea kama mtoto wa kike.Au ndio maana alipigiwa Dubai mkuu???
 
Mkuu hapo ilikuwa unamaanisha 15,000?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…