Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

I like Haji lakini ameshindwa kusoma alama za nyakati. Umesema Mo alikwambia “husiondoke Haji hii timu siyo ya Barbara”! Kwanini ameshindwa kusuluhisha huu mgogoro muda wote huo!

Remote control inatumika kukuondoa kuepuka hasipate lawama kutoka kwa wafuasi wako wengi!!
 

Una hoja kubwa sana... timu ambazo zinashindana na simba CAF hazina nafasi wala roles za watu kama manara katika staffs wao... ukitizama documentary ya Enyimba wakati wanabadilika mwaka 2000 walitoa tenda kwa PWC proffessional consultancy firm na hao pwc kuna vyeo vingi sana walivifuta pale enyimba ili timu iwe ya kisasa. Na vikaleta mgogoro kwa wanaotolewa kazini.. ila miaka miwili mbele wakaenda twaa ubingwa wa CAF champions league..

Kuna wakati ili usonge mbele unahitaji ubadili viatu vizito na uvae raba ili utembee haraka
 
Let's wait and see coz kama ni mind game basi ujue inadhoofisha hadi mashabiki wa simba na morali yao inakuwa chini sana
Kwani timu inapopoteza haji anamakosa gani kiufupi makosa ni ndani ya uwanja kwahiyo hakuna point ya utofauti hpo hizo nikudiverge matters kwelekea 25 maana Yanga wameijulia hii derby aisee
 
Noo! Hizo ni mind games tuu mkuu hawana tatizo kabisa ngoja game iishe Kama utasikia tena wako in good terms
Ni ugomvi tena sio ugomvi wa kitoto huo,Babra hamtaki Haji tangia kitambo ila kwa jinsi Haji alivyo na domo na ujuaji mwingi na alivyojibrand kwa mashabiki Babra anatafuta vijisababu vya kumla kichwa bila kuleta athari kwenye timu,lakini kwa Haji mswahili×2 matachimbika,haki ya Mungu nakwambia patachimbika kuna makaburi yatafukuliwa patachafuka vibaya mno.
 
😂 Mkuu amini maneno yangu alaf caption this 25/7/2021 Simba 3-1 Yanga baada ya hapo hutasikia hiyo ishu tena na manara ataendelea Kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…