Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

Haji aondoke tu maana anaitumia Simba kwenye personal gain zake haswa hayo matangazo ya akina GSM. Yaani mchana msikitini usiku kanisani is it possible?!

siku nilipoona ameandika haya madudu nikajua huyu ni wa kuondosha haraka. Eti Simba & Bugati, huku ni kujiona mko level na Simba. Tatizo wabongo hatuna washauri tuna mashabiki
 
Laki 7[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja.Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike?...
Mi Simba damu, ila huyo Manara hafai kabisa,mswahili Sana kumbe
 
Utopolo kwa mlivyoshikwa vibaya na Manara hili kwenu jema..Hatoki mtu hapo,Manara ataendelea kuwakeraa.
 
Manara kichwani hamna kitu,aondoke tu
 
Huwezi kutengeneza Mind game inayogawa mashabiki wako mwenyewe. Yanga walipokuwa wanasema hatuchezi July 3 walikuwa na sapoti ya mashabiki. Sasa Leo unaletaje mind game kuwagawa watu wako?
Mashabiki hatujagawanyika hata kidogo ngoja baada ya 25/7/2021 pale lake Tanganyika ndo utajua Simba ni kampuni na sio Mali ya mtu binafsi kwa Sasa Simba inaendeshwa Kama real Madrid au Bayern Munich
 
Meno ya mbwa hayaumani, wote wamoja hawa watayamaliza tu.
 
Manara mwenyewe akili kubwa, ashajua kinachoenda kutokea kwahiyo anachofanya sasa ni kutafuta public sympathy
Manara kumbe akiri zero, confict za ofcn kazileta ktk mitandao, bado anamtishia boss wake, duuuuh

Weredi na uswahili havikai pa1

Muda wa manara kupisha kiti umewadia
 
Weledi na uswahili havikai pamoja
 
Meno ya mbwa hayaumani, wote wamoja hawa watayamaliza tuu
Hakika, ila Haji kazidi makelele na kutafuta huruma. Utaratibu wa kudeal na migongano ya kiofisi ipo wazi. Ikishindika sepa kimya kimya hukuzaliwa kuwa msemaji wa Simba. Angalia Rweyemamu alivyofanya, uliwahi kumsikia kwenye mitandao? Akapigania haki zake sasa yupo kazini
 
Nilipenda san hamasa zake. Lakini tatizo la watanzania mafanikio kidogo anajiona ana uwezo sawa au kuliko taasisi. Haji amekuwa kama limbukeni wa umaarufu. Nadhani muda wa kutafuta changamoto sehemu zingine ni sasa...
Na kashaipa sababu bodi kumfukuza kazi, conflicts za ofisini anazipeleka Instagram.

Weledi na uswahili havikai pamoja

Na tuone Haji bila Simba kama hao kina Asas, GSM, Bakhresa kama watamthamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…