Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Tell these betas to man up
 
Wake wa maonesho hao kuficha aibu ya kupapaswa uwemba
Umeonaaa kuna clip inasambaa anasema ataita press na kuanza kutoa uchafu na mabayaa ya rushy, ana sahau na yeye anayo yake, cha ajabu wote wanaliwa na mtu m1. Woiiiiiiiiiiih

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Anavyomtishia sasa yaan mi sipendi mtu anitishie ndio naweza ongea mwaka mzima
 
Mjinga akitafuta sifa hula fedheha, Mpumbavu akitafuta kiki, mwisho wake ni kufa tu.. be ware
 
Yake hayo
 
Yani nacheka tu hapa kila mtu anaangaika aonekane anaijua hii story vizuri and the bad thing ni hakuna anaejua lolote mtalishana matangopori na kusubiri umbeya wa insta [emoji23][emoji23][emoji23]

Isharushwa kwa mange
 
Karibu Sana Shem Tena mnooo
Kumbe homelanda aseehh
Karibu mnoo,Bado hatujasahau vyote
Katoto Kako poa kabisaaa
 
Nakuangalia tu ,mimi mzee wangu yupo humu humu na ni mbishi balaa na masihara mengi kama kijana na yupo kwenye 68 hivi sasa wewe fikiri wote vijana humu kuna vingunge utakuja utupiwe jini humu ohooo
Mwambie akapambanie Katiba mpya,aachane na Mambo ya ubishi na Masikhara ya humu wakti umeshamtupa mkono
 
Mwambie akapambanie Katiba mpya,aachane na Mambo ya ubishi na Masikhara ya humu wakti umeshamtupa mkono
Ushauri gani huu Joannah?

Sisi wazee tukapambanie katiba ya nini wakati tupo tunamalizia ngwe yetu tuwapishe? Hiyo katiba itatusaidia nini sisi?

Ubishi na masikhara ni aina mojawapo ya dawa ya kupunguza Cortisol mwilini; na tunaipata humu bure. Sasa mbona tena unatunyanyapaa kwa kisingizio tu hafifu cha eti muda ushatutupa mkono?

Sijapenda! [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…