Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Ha haa,janja Sana wewe! umechange gia angani,maana wewe Ni mwanaharakati wa kukomesha ombaomba PM
Hapana jamani unanisingizia. Kinachotokea PM always ni siri ya wahusika. Labda sema tu hutaki wageni wenye mikongojo nyumbani kwako. Poa tu haina neno. Na wewe siku moja utazeeka na kuhitaji mkongojo. Dunia ni hii hii hakuna nyingine. Utakwenda wapi mjukuu wangu? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Eti mwanaharakati wa kukomesha ombaomba
Joannah umenichekesha sana.
Babu wa watu anakuita usiogope. ...
Asante kwa kunipigia assist kipenzi. Ngoja tuone kama nitakaribishwa. Hepi niu yia [emoji1545]
 
Nitapenyezaje rupia wakati kila njia imezibwa? Kwa jinsi anavyonizibia mpaka amenifanya nikumbuke kauli moja ya Euphrase Kezilahabi: Eti maisha ya binadamu yangekuwaje kama matundu yake yote yangekuwa yamezibwa?

Endelea kunipigia assist. Huenda nikatoboa [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kila kazi ina malipo daslam hakuna cha bure
 
Ukute ashakula kiinua mgongo chote sasa amebaki na monthly pension ndo maana anajifanya hapendi kuombwa pm kumbe ni hela hana....
Ukiwa na hela unatamani kuombwa ombwa tu....hela Inawasha me nakwambia
Jamani yamekuwa hayo tena dah!

Ila hela za kiinua mgongo zina majini wallahi maana hata zilivyoisha mpaka leo siamini [emoji16]
 
Back
Top Bottom