Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Ndiye yule anayetumia jina la MZEE KICHAA?Mzee wangu ana 62 na yupo humu humu pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiye yule anayetumia jina la MZEE KICHAA?Mzee wangu ana 62 na yupo humu humu pia.
Yogo alishaachana na huyo demu,.Yogo anajilia pale sa hv , demu anakula Kwa madanga analala Kwa Yogo ,
Ha haa,janja Sana wewe! umechange gia angani,maana wewe Ni mwanaharakati wa kukomesha ombaomba PMNipokee tu utaona huko huko. Na mwanaume kuombwa hela ndo wajibu wake. Usiogope!
Eti mwanaharakati wa kukomesha ombaombaHa haa,janja Sana wewe! umechange gia angani,maana wewe Ni mwanaharakati wa kukomesha ombaomba PM
Hapana jamani unanisingizia. Kinachotokea PM always ni siri ya wahusika. Labda sema tu hutaki wageni wenye mikongojo nyumbani kwako. Poa tu haina neno. Na wewe siku moja utazeeka na kuhitaji mkongojo. Dunia ni hii hii hakuna nyingine. Utakwenda wapi mjukuu wangu? [emoji16][emoji16][emoji16]Ha haa,janja Sana wewe! umechange gia angani,maana wewe Ni mwanaharakati wa kukomesha ombaomba PM
🙉🤣🤣 wewe ukipendana na mtu wako usiwaoneshe watuUmesema Mimi na wewe tukipendana tusiwaoneshe au sijakuelewa?
Asante kwa kunipigia assist kipenzi. Ngoja tuone kama nitakaribishwa. Hepi niu yia [emoji1545][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti mwanaharakati wa kukomesha ombaomba
Joannah umenichekesha sana.
Babu wa watu anakuita usiogope. ...
Penye udhia penyeza rupia babuuAsante kwa kunipigia assist kipenzi. Ngoja tuone kama nitakaribishwa. Hepi niu yia [emoji1545]
We Shimba ya Buyenze hapendi kabisa wadada wanaoomba hela PM 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Eti mwanaharakati wa kukomesha ombaomba
Joannah umenichekesha sana.
Babu wa watu anakuita usiogope. ...
Hapana. Ila jf wazee wapo wengi sana sana.Ndiye yule anayetumia jina la MZEE KICHAA?
Ukute ashakula kiinua mgongo chote sasa amebaki na monthly pension ndo maana anajifanya hapendi kuombwa pm kumbe ni hela hana....We Shimba ya Buyenze hapendi kabisa wadada wanaoomba hela PM 😂😂😂😂😂
Kila kazi ina malipo daslam hakuna cha bureNitapenyezaje rupia wakati kila njia imezibwa? Kwa jinsi anavyonizibia mpaka amenifanya nikumbuke kauli moja ya Euphrase Kezilahabi: Eti maisha ya binadamu yangekuwaje kama matundu yake yote yangekuwa yamezibwa?
Endelea kunipigia assist. Huenda nikatoboa [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Jamani yamekuwa hayo tena dah!Ukute ashakula kiinua mgongo chote sasa amebaki na monthly pension ndo maana anajifanya hapendi kuombwa pm kumbe ni hela hana....
Ukiwa na hela unatamani kuombwa ombwa tu....hela Inawasha me nakwambia
😂😂😂😂😂😂Penye udhia penyeza rupia babuu
Na ww unakuwa km vijana wa juzi wakati wewe jando ulifanyiwa porini na ulitahiriwa bila ganzii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamani yamekuwa hayo tena dah!
Hela za kiinua mgongo zina majini wallahi maana hata zilivyoisha mpaka leo siamini [emoji16]
Jizazi!Kila kazi ina malipo daslam hakuna cha bure
Kabisa yaani hujakosea! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimegusa mle mle eeeh
Babu kumbe unapenda kitongaJizazi!
Ai ofishale givapu!