Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Bora yeye itakuwa alipiga three some

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nakuangalia tu ,mimi mzee wangu yupo humu humu na ni mbishi balaa na masihara mengi kama kijana na yupo kwenye 68 hivi sasa wewe fikiri wote vijana humu kuna vingunge utakuja utupiwe jini humu ohooo
Unaweza ukanitambulisha kwake tuwe tunapiga stori za enzi zetu?

Kujichanganya humu na vijana inasaidia sana. Tunakuwa up to date na matukio yote, tunajifunza pigo zenu wa kizazi kipya na pisi zenu hizi za mchongo. Na mind yetu inakuwa sharp balaa. Siyo mtu unazeeka unakuwa grumpy and bitter no! Mtuvumilie tu kwa sababu hakuna namna!
 
Yanga wamepiga kambi wapi?
 
Mkuu mwanamke hana formula. Ishi kwa nafasi yako...usijiue kisa pale kati
 
Daah..76 . We babu yangu kabisa.Heshima kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…