Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

"Mwanaume hajaumbiwa kuwa na mke mmoja, mwanaume unakuwaje na mke mmoja? Tuige mfano wa Haji na Dr. Mwaka"..walisikika mabraza wa Jf..haya kiko wapi??

Wake wengi ilikua kwa babu zetu buanaa..wanawake wa zamani walikua wanajitunza..no tamaa. Saiv ukiwa na mke zaid ya mmoja hakikisha una hela..sio huyu unampa hiki huyu humpi..haloo, na nguvu ziwepo sio ujifanye huwezi kula nyama moja sku zote afu ukienda kwa bi mdogo ama mkubwa una stress za tozo unapiga kimoja af chali..utachapiwa tu.

Kuwa energetic haswa yani mpaka ifuke moshi, afu ni kwa wote wawili sijui watatu na hela na macare na uwe handsome six pack ndo wanawake wote watakua faithful kwako..unless otherwise utakuwa unaoa na kuacha mpk uje kuingia kaburini..utajikuta umezeeka bila la maana..ulikeshea chinyu maisha yako yote...
#povunikafulienguomie#
Bora yeye itakuwa alipiga three some

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nakuangalia tu ,mimi mzee wangu yupo humu humu na ni mbishi balaa na masihara mengi kama kijana na yupo kwenye 68 hivi sasa wewe fikiri wote vijana humu kuna vingunge utakuja utupiwe jini humu ohooo
Unaweza ukanitambulisha kwake tuwe tunapiga stori za enzi zetu?

Kujichanganya humu na vijana inasaidia sana. Tunakuwa up to date na matukio yote, tunajifunza pigo zenu wa kizazi kipya na pisi zenu hizi za mchongo. Na mind yetu inakuwa sharp balaa. Siyo mtu unazeeka unakuwa grumpy and bitter no! Mtuvumilie tu kwa sababu hakuna namna!
 
Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel.

Je Haji anachapiwa?

Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao.

Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila haihusiani
Yanga wamepiga kambi wapi?
 
"Mwanaume hajaumbiwa kuwa na mke mmoja, mwanaume unakuwaje na mke mmoja? Tuige mfano wa Haji na Dr. Mwaka"..walisikika mabraza wa Jf..haya kiko wapi??

Wake wengi ilikua kwa babu zetu buanaa..wanawake wa zamani walikua wanajitunza..no tamaa. Saiv ukiwa na mke zaid ya mmoja hakikisha una hela..sio huyu unampa hiki huyu humpi..haloo, na nguvu ziwepo sio ujifanye huwezi kula nyama moja sku zote afu ukienda kwa bi mdogo ama mkubwa una stress za tozo unapiga kimoja af chali..utachapiwa tu.

Kuwa energetic haswa yani mpaka ifuke moshi, afu ni kwa wote wawili sijui watatu na hela na macare na uwe handsome six pack ndo wanawake wote watakua faithful kwako..unless otherwise utakuwa unaoa na kuacha mpk uje kuingia kaburini..utajikuta umezeeka bila la maana..ulikeshea chinyu maisha yako yote...
#povunikafulienguomie#
Mkuu mwanamke hana formula. Ishi kwa nafasi yako...usijiue kisa pale kati
 
Huwa unatoa points sana kwenye comments zako nyingi ila leo sijakufeel kabisa.

Nina miaka 76 na nilichojifunza ni kwamba unaweza kumfanyia yote mwanamke - uliyoyataja hapa na mengineyo lakini bado ukachapiwa tu. Tena hawa wa kisasa hawa ndo kabisaa. Unafanya yote haya halafu mkeo anakuja kuliwa na boda, shamba boy au mangi wa hapo jirani. Ukiuliza eti mazoea au matani.....na kusifiwa sifiwa...anti leo umependeza sana...anti umenoga....

Ila uliyosema yanasaidia kupunguza dhahma tu ila nijuavyo mimi kuchapiwa kuko pale pale!

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriyaNdani
Daah..76 . We babu yangu kabisa.Heshima kwako.
 
Back
Top Bottom