Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Ndio sema tuKwa hiyo unataka na mie niseme tu 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sema tuKwa hiyo unataka na mie niseme tu 😁
White kachapiwa 😍Ndio sema tu
Mkuu huko ni mbali balaa imagine nadaiwa 40+ kufikia 76 ntafika kweli?.Lakini ni umri ambao mtu anaweza kuufikia na si jambo la kushangaza.
Halafu huyo mkewe ni mke wa mjuba 😂Ilaa jamaa mbayaa anakula mtu na mkeweee.
Bora yeye itakuwa alipiga three some"Mwanaume hajaumbiwa kuwa na mke mmoja, mwanaume unakuwaje na mke mmoja? Tuige mfano wa Haji na Dr. Mwaka"..walisikika mabraza wa Jf..haya kiko wapi??
Wake wengi ilikua kwa babu zetu buanaa..wanawake wa zamani walikua wanajitunza..no tamaa. Saiv ukiwa na mke zaid ya mmoja hakikisha una hela..sio huyu unampa hiki huyu humpi..haloo, na nguvu ziwepo sio ujifanye huwezi kula nyama moja sku zote afu ukienda kwa bi mdogo ama mkubwa una stress za tozo unapiga kimoja af chali..utachapiwa tu.
Kuwa energetic haswa yani mpaka ifuke moshi, afu ni kwa wote wawili sijui watatu na hela na macare na uwe handsome six pack ndo wanawake wote watakua faithful kwako..unless otherwise utakuwa unaoa na kuacha mpk uje kuingia kaburini..utajikuta umezeeka bila la maana..ulikeshea chinyu maisha yako yote...
#povunikafulienguomie#
Hivi kweli manara wanambandua au ni propagandaIlaa jamaa mbayaa anakula mtu na mkeweee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hawajuani wala nn
Uwiiiiiih.
Hivi kweli manara wanambandua au ni propaganda
Yaani mtihaniHivi kweli manara wanambandua au ni propaganda
Unaweza ukanitambulisha kwake tuwe tunapiga stori za enzi zetu?Nakuangalia tu ,mimi mzee wangu yupo humu humu na ni mbishi balaa na masihara mengi kama kijana na yupo kwenye 68 hivi sasa wewe fikiri wote vijana humu kuna vingunge utakuja utupiwe jini humu ohooo
Yanga wamepiga kambi wapi?Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel.
Je Haji anachapiwa?
Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao.
Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila haihusiani
Mzee wangu ana 62 na yupo humu humu pia.Nakuangalia tu ,mimi mzee wangu yupo humu humu na ni mbishi balaa na masihara mengi kama kijana na yupo kwenye 68 hivi sasa wewe fikiri wote vijana humu kuna vingunge utakuja utupiwe jini humu ohooo
Jamani nitambulisheni kwa hawa wazee wenzangu tujuane. It will be very cool wallahiMzee wangu ana 62 na yupo humu humu pia.
Bila comment ako huu uzi ungekuwa batiliIlaa jamaa mbayaa anakula mtu na mkeweee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hawajuani wala nn
Uwiiiiiih.
Tatizo lako unaleta gazeti nusu nusu , Haya shuka vina mi nafata kigoda paleee, 😁😁 au ndo boss wa Simba wa Bahari aka li Bahari la ukimya teh the teh tehIlaa jamaa mbayaa anakula mtu na mkeweee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hawajuani wala nn
Uwiiiiiih.
Mkuu mwanamke hana formula. Ishi kwa nafasi yako...usijiue kisa pale kati"Mwanaume hajaumbiwa kuwa na mke mmoja, mwanaume unakuwaje na mke mmoja? Tuige mfano wa Haji na Dr. Mwaka"..walisikika mabraza wa Jf..haya kiko wapi??
Wake wengi ilikua kwa babu zetu buanaa..wanawake wa zamani walikua wanajitunza..no tamaa. Saiv ukiwa na mke zaid ya mmoja hakikisha una hela..sio huyu unampa hiki huyu humpi..haloo, na nguvu ziwepo sio ujifanye huwezi kula nyama moja sku zote afu ukienda kwa bi mdogo ama mkubwa una stress za tozo unapiga kimoja af chali..utachapiwa tu.
Kuwa energetic haswa yani mpaka ifuke moshi, afu ni kwa wote wawili sijui watatu na hela na macare na uwe handsome six pack ndo wanawake wote watakua faithful kwako..unless otherwise utakuwa unaoa na kuacha mpk uje kuingia kaburini..utajikuta umezeeka bila la maana..ulikeshea chinyu maisha yako yote...
#povunikafulienguomie#
Daah..76 . We babu yangu kabisa.Heshima kwako.Huwa unatoa points sana kwenye comments zako nyingi ila leo sijakufeel kabisa.
Nina miaka 76 na nilichojifunza ni kwamba unaweza kumfanyia yote mwanamke - uliyoyataja hapa na mengineyo lakini bado ukachapiwa tu. Tena hawa wa kisasa hawa ndo kabisaa. Unafanya yote haya halafu mkeo anakuja kuliwa na boda, shamba boy au mangi wa hapo jirani. Ukiuliza eti mazoea au matani.....na kusifiwa sifiwa...anti leo umependeza sana...anti umenoga....
Ila uliyosema yanasaidia kupunguza dhahma tu ila nijuavyo mimi kuchapiwa kuko pale pale!
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriyaNdani
Manara ashapewa three someIlaa jamaa mbayaa anakula mtu na mkeweee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hawajuani wala nn
Uwiiiiiih.
We kweli chiziumebeba hisia kali kama mwana chama wa simba [emoji23]