Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Sawasawa nakubaliana na wewe katika hili haipendezi kuanika wenza wetu hasa katika mitandao ya kijamii, nyaki nyaku ziko pale zinasubiri kunyakua, tena mtu ni maarufu 😂😂😂tumewaona wengi na waliangukia puaMastar wametuchosha na kuanika wapenzi wao wanajifanya sisi tuonekane hatujawahi pendwa.
Shina shida na manara ni mwananchi mwenzangu ila hiyo tabia ya kuanika wake hapana.
Leo kaandika caption ndefu kama mnara wa babeli, akimsifia mke mkubwa.wacha achapiwe.
Hamo na kajala kha! Walijuwa kutuumiza wako wapi?
Naweza kuonekana mnafiki na sipingi ila mtu mwingine ninaemsubiri kwa hamu asage meno ni zamaradi, mme anatundikwa barabarani? Unajinunulia gani urithi wa ruge unatudanganya umenunuliwa? Wadada wa daslam hawajawahi tuangusha siku ipo ilo bango ulilotundika jijini dar utalijutia.
Sema mme wa zamaradi hana hela angekuwa nazo wadada wa mjini wasingechelewa kutuvunja mbavu.
Hata kutambulisha mashosti bwana ako haitakiwi labda awe mume na ukiwa na mume shosti wa nini, mi ndo maana naonekana naringa huwezi kujua mapito yangu labda niamue kukusimulia ila katika vitu sivitaki ni ke kuzoeana na mtu wangu hata kwa kumtizama picha tu sitaki,