Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Hapana jamani unanisingizia. Kinachotokea PM always ni siri ya wahusika. Labda sema tu hutaki wageni wenye mikongojo nyumbani kwako. Poa tu haina neno. Na wewe siku moja utazeeka na kuhitaji mkongojo. Dunia ni hii hii hakuna nyingine. Utakwenda wapi mjukuu wangu?
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
🀣🀣🀣 Babu maneno yako yasinipe laana buree....nifungulie mlango huko PM kwako tuweke Mambo sawa
 
"Mwanaume hajaumbiwa kuwa na mke mmoja, mwanaume unakuwaje na mke mmoja? Tuige mfano wa Haji na Dr. Mwaka"..walisikika mabraza wa Jf..haya kiko wapi??

Wake wengi ilikua kwa babu zetu buanaa..wanawake wa zamani walikua wanajitunza..no tamaa. Saiv ukiwa na mke zaid ya mmoja hakikisha una hela..sio huyu unampa hiki huyu humpi..haloo, na nguvu ziwepo sio ujifanye huwezi kula nyama moja sku zote afu ukienda kwa bi mdogo ama mkubwa una stress za tozo unapiga kimoja af chali..utachapiwa tu.

Kuwa energetic haswa yani mpaka ifuke moshi, afu ni kwa wote wawili sijui watatu na hela na macare na uwe handsome six pack ndo wanawake wote watakua faithful kwako..unless otherwise utakuwa unaoa na kuacha mpk uje kuingia kaburini..utajikuta umezeeka bila la maana..ulikeshea chinyu maisha yako yote...
#povunikafulienguomie#
UKWELI NI KWAMBA WENYE WAKE WENGI, HUKU MTAANI TUNAWASAIDIA SANA.

KWA SASA NJIA SALAMA KUWA NA MKE MOJA, NA MCHEPUKO MAMA MTU MZIMA MMOJA TU.
MAISHA UTA INJOI
 
Ena wenga mlongooo, mundu na mdala waki vigenda na mgosi mmonga. Koto kinila nikujovelaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yOyohooooooooo!!!!!!!!
vandu vaaaandu!
mgosi yulaaa sasa ababili chaaaani, weeenga!
Ngati magono hagha mdala, magono hagha mdala.!
Wengaaaa! kumbe ngati mdala ye naye!
Maliyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
kabisa yule kilichomcost kwanza anaongea sana na ana maadui halafu kila muda anajifanya anampost sasa hapo watu watakuwa wamemgongea makusudi alitakiwa asiewe ana weka mapichapicha ya wake zake mtandawoni
🀣🀣🀣🀣mjuaji kakutana na wajanja zaidi yake
 
Rushy anasema haji anawala kisamvu kwa lazima...ndo maana mange amesema akiandika yote hata rushy nae atadhalilika
cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa naye sope ana wala wake zake, ko akitokaa kuliwa yeye anaenda lipa kwa wakewe!! Kwanza sio mpyaa mbna walikua wanakulana zam zam na mtangazaji m1 wa Azam Media.

Ndo maana nasemaa kwenye hili wote wahusikaa wakae kmyaaa, watadhalilika vibayaa, tatizo sope anataka kushinda kila battle hajui kumyamaza yaan, waendeleee kufukunyuanaa basha wao anawatazamaa tyuuh. Aone wanaishia wapi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeee.
 
yOyohooooooooo!!!!!!!!
vandu vaaaandu!
mgosi yulaaa sasa ababili chaaaani, weeenga!
Ngati magono hagha mdala, magono hagha mdala.!
Wengaaaa! kumbe ngati mdala ye naye!
Maliyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Eeeeeh mlongooo magono aga mgosi ivya ngati mdalaa, dunia yene yimaliki tangu kandaiiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa naye sope ana wala wake zake, ko akitokaa kuliwa yeye anaenda lipa kwa wakewe!! Kwanza sio mpyaa mbna walikua wanakulana zam zam na mtangazaji m1 wa Azam Media.

Ndo maana nasemaa kwenye hili wote wahusikaa wakae kmyaaa, watadhalilika vibayaa, tatizo sope anataka kushinda kila battle hajui kumyamaza yaan, waendeleee kufukunyuanaa basha wao anawatazamaa tyuuh. Aone wanaishia wapi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeee.
Nani sasa kamgonga mke wa bugati

Ova
 
Hahahah wanyamaze yatapitaa
 
Back
Top Bottom