Mhh mkuu ulisikiliza press ya haji kweli?Wewe nae unachong’ang’ania sijui hata kama unakielewa, tatizo lako ni hukumu kutoka haraka au nini? Wakichelewesha tatizo wakiwahi tatizo.
Hii kesi alipewa taarifa na imeendeshwa kwa taratibu zote. Tuambie sasa ni kesi ipi inayopigwa kalenda au ina muda mrefu haijatolewa hukumu.
Swala la Nakala ya hukumu unataka wao TFF ndio waanze kumtafuta kumkabidhi? Alienda wakamnyima? Kuna taratibu na muda wa kupewa Nakala ya hukumu, muda huo umepita? Au unaongea ushabiki.
Watoe nakala ya hukumuTFF wamekanusha kwa maandishi madai ya Haji kuwa si kweli alichozungumza kwenye press yake. Wewe unataka tumwamini nan kati yake na TFF?
TFF kakanusha hoka Moja tu kwenye barua yake tena ya kusema msomali hakumwita kuomba msamaha hoja ipo tena TFF amekanusha kwenye barua yakeTFF wamekanusha kwa maandishi madai ya Haji kuwa si kweli alichozungumza kwenye press yake. Wewe unataka tumwamini nan kati yake na TFF?
Watu hata hawajasikiliza press Wana toa mawazo yao kichwani mkuuMhh mkuu ulisikiliza press ya haji kweli?
Iunde tume huru kwa ajili ya Haji? Haji ni nani katika hii Nchi hadi aundiwe tume,halafu Serikali hiyo hiyo anayoishutumu kupitia kwa Waziri mwenye dhamana ya michezo kuwa alishabikia yeye afungiwe ndiyo anataka iunde tume? Au anamwagiza Mkuu wa Nchi kwa lugha nyingine?Ndio maana haji anaomba serikali iunde tume huru
Wewe nae acha kutuongopea,aliyekanusha ni Katibu kwakuwa Haji alimsingizia Katibu kuwa alimuomba msamaha,Karia anaingiaje hapa? Halafu nyie Uto mnamwita Karia Msomali na Hersi yeye ni mmatumbi siyo?TFF kakanusha hoka Moja tu kwenye barua yake tena ya kusema msomali hakumwita kuomba msamaha hoja ipo tena TFF amekanusha kwenye barua yake
Hoja ya kubania nakala ya hukumu kakanusha wapi weka barua ya TFF hapa
Umeulizwa swali,je muda wa kutoa nakala ya hukumu umepita? Yani unaendeshwa na mihemko ya mropokaji Manara.Watu hata hawajasikiliza press Wana toa mawazo yao kichwani mkuu
Wewe house girl kaoshe vyombo haya mambo ni oversize kwakoYalipigwa baada ya mchezo, mashabiki walivamia uwanja. Matukio kama hayo huwa hamuoneshwi kwenye tv ili kulinda brand ya ligi yetu.
Fukara hawezi kunielewa hata siku moja, endelea kuni-ignore.Akili ndogo huwezi nielewa nme Ku ignore
Achana na kuuliza swali la ajabu uliza la maana kwa nini TFF wakifuatwa kutoa nakala ya hukumu wanajizungushaUmeulizwa swali,je muda wa kutoa nakala ya hukumu umepita? Yani unaendeshwa na mihemko ya mropokaji Manara.
HakikaMdomo ndiyo unamuangamiza
Wakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu!
Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama kuna mtu (ambaye anamaslahi binafsi na TFF) Yuko nyuma yake anampampu, maana pengine anajiona anawaexpose Karia na TFF lakini kwa msomi anaonekana anaropoka!
Kwa nini anataka attention ya watu kwa social media na si kufuata utaratibu wa kukata rufaa kupinga maamuzi?
Kwanini pamoja na maamuzi yaliyotolewa bado anatoa kauli za kuwa against nayo kana kwamba TFF na Manara mkubwa Ni Manara?
Kwanini Manara badala ya kutoa misimamo itakayoenda kuzima Moto lakini anatokwa na maneno ya kuukoleza Moto? Ni nani aliye nyuma ya pressure aliyonayo Manara?
View attachment 2303446View attachment 2303451
Huyu Jamaa alimtukana Yule Dada wa Simba kale kadada kalikaa kimyaaaa bila hta kujibu ...Alijua Manara Ni mtu wa Aina gan
Angekaa kimya akate rufaa kimya kimya
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Utani kivipi
Mtu akutukane uchukulie pouaa
Aliifuata akanyimwa? Au anaosubiri pale masaki kwenye apartment aliyopangiwa na GSMSheria zinasema ndani ya Massa 72,muadhibiwa inabidi apate nakala ya hukumu yake Ila mpk sasa hajapewa,na ameenda kuomba nakala ya hukumu Mara Tatu bila kupewa
Hivi kweli kabisa Serikali iunde tume kujadili huyu mhuni?View attachment 2304197View attachment 2304198View attachment 2304199View attachment 2304200