Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Huyo Haji Manara yupo Simba ki maslahi. Ana tafuta umaarufu kwa tiketi ya ushabiki wa simba ili autumie kwa malengo binafsi.

Simba wamefanya vizur kumpiga chini. Halafu vile anakera ana drag simba kwenye u CCM.

Hafai, haya maamuzi yalichelewa
 
Ukiona mwanamke/msichana anaweaka picha ya msichana "mzuri" kwenye avatar yake ujue huyu ana sura mbaya na hana mume!
Sikupingi kiongozi wangu kuna mmoja anajiita Khantwe huyu mpaka nimemsema ndio siku hizi hashindi humu.
.
Ilikuwa niingie humu saa 8 usiku, mchana, saa 12 au alfajili kwenye post mpya lazima nione kakomenti ikabidi nimuulize wewe huna hata bwana wa kulala nae? Akanijibu wali maharage nikampa ushauri akanijibu makande na jinsi anavyojibu kama mwanaume πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
.
Ikabidi tu ni-Conclude kwa kumwambia wewe ni mwanaume humu kuna kitu unatafuta sio kawaida akajishusha hawa wengine nao unakuta sura kama goti kisukuma tunaita (SURA MONG'O)
 
Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? Mbona unanifuatilia sana? Unanidai?
 
Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? Mbona unanifuatilia sana? Unanidai?
Mkuu Retired kaona tu hata sikumtag kwa makusudi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ relax saivi ni muda wa kumliwaza mume sio wa kuchati na anonymous
 
Tatizo kubwa MbuteMbute fc mnadhani matatizo yenu yanasababishwa na Manara, kweli nyie bariiiiid kama asemavyo mstaafu.
 
Haji Manara anatisha mpaka Mo kaomba poo simchezo sisi mashabiki tunajaza uwanja kwa ajili yake iweje wamuondoe kifala tu sababu ya Macha magazeti
Ni Bora wampeleke shule Haji.
Masters si ni mwaka mmoja na nusu tu tena huku akiifanya kazi yake.
Huyo bwana mkubwa hakika kapoa Sana, atazungumza Nini mbele ya mamilioni ya washabiki wa Simba wanaochemka wenye hisa ya 51.
Haji jiandikishe Masters usome ada ni m.5, tu na Nina uhakika unayo.
MO ukimtupa Haji utapata hasara ameiinua Sana Nembo yako na ya Simba SC.
Mwendeleze Haji Bosi usiwe na Roho ya Kibepali. Wewe hupo hivyo kabisa.
 
Umeyataka subiri aje
 
Eti lijitu kama wewe huko kuna lijitu linakuita kaka/mama/ mjomba/shangazi
Hahaha! Khantweeee don't take it personal nisamehe.
.
Huko kwenye uswahili swahili huniwezi mimi mtoto wa mtaa ulikuwa ni utani tu wenye kaukweli ndani yake nakusihi unisamehe kwa sababu huko unakotaka twende mimi ndio kwangu utakimbia πŸ™
 
Hahaha! Khantweeee don't take it personal nisamehe.
.
Huko kwenye uswahili swahili huniwezi mimi mtoto wa mtaa ulikuwa ni utani tu wenye kaukweli ndani yake nakusihi unisamehe kwa sababu huko unakotaka twende mimi ndio kwangu utakimbia [emoji120]
Stu.pid
 
Ni kama mashabiki wa simba wanavyomchukia Zahera
Zahera simba wamchukie kwa lipi...kocha mbovu,litimu libovu+njaa...sisi hatuwezi mchukia kocha ambae anafundisha timu bovuu ambalo tukikutana nalo likijitahidi sana ni droo
 
Hahaha najishusha unaniita Stupid wewe khantwe wewe nacheka kwa dharau 😝😝 you better stop maana ......
Mkuu kiukweli tu bila hata kumung'unya maneno huyu binti umekuwa ukimchokozachokoza sana...kama coincidence bahati nzuri kwenye uzi ambao mlikuwa mnalumbana nimeusahau ulikuwa ni uzi gani but nilikwepo...so mkuu kwa ushauri tu kama wewe ni mtoto wa kiume kweli achana tu na huyu mwanamke,ishi humu jukwaani kwa ku ignore kama kuna mtu kama yeye na usimuhusishe kabisa kwenye michango yako mbalimbali kwenye nyuzi humu jukwaani...ukifanya hivyo utaepusha malumbano yoyote baina yako na yeye yasiyo na msingi wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…