Hakuwa kimsemaji wa team kabisa,alikuwa kishabiki zaidi.Press conferences zake alikuwa anaongelea Yanga zaidi kuliko Simba.Press nzima anaiponda Yanga.Ndo maana tajiri kaona isiwe taabu.Huyo sijui Manara ingekuwa ni ulaya anefungiwa kwa kuonyesha disrespect (dharau/kutoheshimu) kwa timu nyingine..Mtu anabwabwaja eti watachukua ubingwa miaka kumi mfulululizo eti 'back to back'....hovyo kabisa...kwa mashabiki kutamba sawa lakini siyo kwa kiongozi.eti "nawachukia gongowazi"......hovyo..kabisa...
Kabla ya kuwa msemaji Simba akikuwa anakula wapiSasa hivi atakuwa chini ya Gift Macha. Inasemekana Haji kakataa. Ila naona ana test zari tu. Mjini pagumu asipofanya propaganda atakula wapi?
Hahahaa. Nililala baada ya kipindi cha kwanza Mtani.Ntaindaa Kwa Ajili Yako, Vipi Lakin Mpira Unaangalia!?
Nipo Mtani Wangu Mambo tu Ya Dunia Yanatupoteza Kidogo.
Haji anabaki kuwa shabiki tu,atakuwa anakwenda kunywa Gahawa tu pale Msimbazi.Na vile perfume haziuziki ndo acha alambe miguu viongozi wa CCM na Serikali.
Your comments are not true wewe sema.niYule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Haji ni tapeli tuTapeli yule,zile perfume anadaiwa.Kesi ipo mahakamani.
NdioSimba wamefanya kosa kubwa sawa na lile walilowahi kulifanya chama changu cha Chadema (samahani kwa kuleta mfano wa kisiasa hapa), KUMLETA VICENT MASHINJI AVAE VIATU VYA DR.SLAA.
Muamini,msiamini: Simba inaenda kuwa ya bariiiidiiii kama pipi kifua, sawa tu na Vyura FC.
Siyo mara zote professionals wanafanya vizuri, kuna wakati wanazidiwa kwa mbali sana na amateurs (e.g Haji Manara). Na jambo hili nimeliona sehemu nyingi tu.
Yaani yule akishinda ubunge,nitawadharau sana wanadsm.
Gongo wazi wanateseka sana !! π π π π π πMna lingine nyie kenge WA bwawani bangu bangu FC View attachment 1184398