Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Pole sana manara bado yupo simba
 
Haji anabaki kuwa shabiki tu,atakuwa anakwenda kunywa Gahawa tu pale Msimbazi.Na vile perfume haziuziki ndo acha alambe miguu viongozi wa CCM na Serikali.
Ka Victoire kana majunguuu..Kametoka kule siasani kumbe kamejaa huku tele kanapiga jungu...Yanga mwaka huu watapata tabu sana, nasema watapata tabu sana, vipigo vyake vitakuwa vya mbwa koko!
 
Ka Victoire kana majunguuu..Kametoka kule siasani kumbe kamejaa huku tele kanapiga jungu...Yanga mwaka huu watapata tabu sana, nasema watapata tabu sana, vipigo vyake vitakuwa vya mbwa koko!
Haji Manara anatisha mpaka Mo kaomba poo simchezo sisi mashabiki tunajaza uwanja kwa ajili yake iweje wamuondoe kifala tu sababu ya Macha magazeti
 
Ka Victoire kana majunguuu..Kametoka kule siasani kumbe kamejaa huku tele kanapiga jungu...Yanga mwaka huu watapata tabu sana, nasema watapata tabu sana, vipigo vyake vitakuwa vya mbwa koko!
Hahahhahhh si unajua tena ka Victoire a.k.a me ofcourse, ni kashabiki ka Yanga. Unajua tatizo Haji press zake zote alikuwa anaiongelea Yanga kuliko hata team yake Simba.
Hahahahaha eti tutapata taabu sana ?
Subiri tutaona.
 
Aliitisha press conference kesho lakini ameamua kuiacha baada ya Mo kumwambia asiifanye.
Muda si mrefu ataropoka tu.
 
Haa haa.Nilisikia (Wild street talks) kwamba Manara ana BA in mass communication kutoka SAUT Mwanza
Siijui Elimu yake. Ila atakuwa walau na diploma ya mawasiliano,siyo huyu Haji la saba na uzoefu wa utapeli.
 
Haji Mohamed Manara ndio kiboko yao walugaluga. Hamna anayediriki kufungua mdomo.
 
Mbona maelezo yalivyo Manara ataendelea na kazi ile ile ambayo wengi wa mashabiki wa yanga mnakereka,Manara ataendelea vile vile tuu msijipe moyo
 
Haa haa.Nilisikia (Wild street talks) kwamba Manara ana BA in mass communication kutoka SAUT Mwanza
Angekuwa nayo angeshatambia nayo. Ana kicertificate cha DSJ.Ikute alinunua maana enzi za JK kila kitu kiliwezekana.
 
Ha ha haa unajua unachekesha ww dada/mama?.Je suis tres contant avec toi.Bon Dimanche m'ami.[emoji120]
Angekuwa nayo angeshatambia nayo. Ana kicertificate cha DSJ.Ikute alinunua maana enzi za JK kila kitu kiliwezekana.
 
Hivi kwanini mashabiki wa yanga wanamchukia sana haji manara. Huyu haondoki simba, he is there to stay.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…