Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ndio yule rais wa bao wa malumbano ya hoja?Mme wangu yupo busy na SADC,nipo namsubiri arudi.Anarudi saa kumi Alfajiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio yule rais wa bao wa malumbano ya hoja?Mme wangu yupo busy na SADC,nipo namsubiri arudi.Anarudi saa kumi Alfajiri.
rais wa baoNdo nani huyo?
Kwa sababu gani?Yaani yule akishinda ubunge,nitawadharau sana wanadsm.
Lol! Nina Tiket Yako! Popote Ulipo JitokezeeEwaaaaa!! Hamna kitu ka hicho Mtani Azam anashinda moja bila.
😀😀😀Saiv mtapumua kidogo
Daaah! Bahati mbaya niko mbali leo ningeijia Mtani. Niwekee ya mechi na Ud Songo ndio nimepanga niende nikawazomee.😀😀😀Lol! Nina Tiket Yako! Popote Ulipo Jitokezee
Hivi watu walikuwa wanajaa kumfuata Manara au waliifuata Simba? Elewa Simba ndiyo ilikuwa inambeba Manara na sio yeye kuibeba Simba.Ndio nasema kule ambapo mnasema tupo kunawakaribia Mtani. Na hapa napata shaka kama mtajaa Uwanjani hiyo mechi na Ud Songo.
Sababu mpiga kelele hatokuwepo.
Nadhani mko wachache Mkuu ambao mlikuwa hamumkubali.Hivi watu walikuwa wanajaa kumfuata Manara au waliifuata Simba? Elewa Simba ndiyo ilikuwa inambeba Manara na sio yeye kuibeba Simba.
Binafsi nilikuwa simkubali Manara maana alishaanza kuingiza siasa na kutaka ionekane eti Simba nayo inamlamba miguu Makonda wakati sivyo hata kidogo.
Umefurahi eeh? Sasa mtapumua ..😂😂😂😂Sesten Zakazaka , Penison, Tui , Sapta Sapta , Sanchez magoli , Proved , Mtoto halali na hela , OKW BOBAN SUNZU, Ghazwat muje museme hali zenu zikoje baada ya huyu mropokaji wenu kupigwa chini.
👍Manara ataendelea kuwa msemaji wa club ila atakuwa chini ya Gift Macha.
Inaonekana anawanyanyasa sana kwasukwasu maana si kwa kumuogopa hivi
👊👊👊👊Edson Alcantara Delima Maradona Manara Santos De Sunday Haji bado yupo na mechi ya leo utamuona akizungumza
Manara ni mwana ngonjera, tapeli professionalYule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Ntaindaa Kwa Ajili Yako, Vipi Lakin Mpira Unaangalia!?Daaah! Bahati mbaya niko mbali leo ningeijia Mtani. Niwekee ya mechi na Ud Songo ndio nimepanga niende nikawazomee.😀😀😀
Habari ya miaka ndugu yangu? 😜 Umejua kuadimika.