Haji Manara ashukuru Mungu Muro yuko mfumgoni Kwaresma

Haji Manara ashukuru Mungu Muro yuko mfumgoni Kwaresma

Kwenye michango yako naona una visa na wachaga, kama ni mambo ya Jerry yaelezee bila ya kuyafunganisha na kabila lake, hii ni njia bora zaidi ya wewe kutoa mchango wako.
Ila mkuu yule mchaga ana roho mbaya na wivu juu... kinachofanya mashabiki wa yanga mumpende kwa wkt huu ni kashfa zake juu ya manara ila muda utaongea pale jangwani juu ya ujio wake.. hana kauli nzuri hata kidogo, iweje aseme eti " kuanzia leo tutaanza kushinda kisa yeye karudi.. kwani hizo mechi nyingine mlizokuwa mnashinda ye alikwepo? Na hii kujiona ye ni bora kuliko viongozi wengine pale yanga. Nuksi tu wachaga mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utofauti wa manara na Jeri ni kua Manara anaendeleza utani wa Simba na yanga, ila Jeri yeye yupo kumu attack Manara has individual.
Uwezi mtu ambaye umemsaidia uanze kumsimanga kisa ulitoa mchango wako ili atibiwe,
Sidhani ka Manara angeumia ka Jeri angekua anaisema Simba .

Sent using Jamii Forums mobile app
"Morrison ni takataka" by Manara, hapo ameizungumzia yanga au amemuattack mchezaji individually?
 
Jerry Muro hajui kuuzungumzia mpira yeye anajua kupiga vijembe na majungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi sana Muro, badala ya kuzungumzia football na utani wetu wa Simba na Yanga, anaingiza mambo ya dini kwa kejeli, huyo hana tofauti na yule mtumishi aliyechana kitabu

Aje achukue hela yake Msimbazi
 
Kwenye michango yako naona una visa na wachaga, kama ni mambo ya Jerry yaelezee bila ya kuyafunganisha na kabila lake, hii ni njia bora zaidi ya wewe kutoa mchango wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata mangi😀 niwie radhi si unajua ndugu yako anaiona elimu yetu ya madrasa si lolote! Si chochote Niwie radhi mkuu🙏
 
Kwasukwasu lipeni mishahara ya wachezaji wenu wasifukuzwe kwenye nyumba wanaoishi, nasikia kulikuwa na sita wanaishi chumba kimoja huko Kariakoo wametimuliwa baada ya kushindwa kulipa kodi ya nyumba.
 
Maneno yake ni juu ya utani wa jadi wa simba na yanga mfano gongowazi, kwasu kwasu lkn si kumkashifu mtu eti ww huna unachonizidi zaidi ya ualimu wa madrasa mala umeumwa tumekuchangia
Aliwaita viongozi wa Yanga wapumbavu wakati baba yake mzazi yuko kwenye kamati za Yanga...kama anamtukana mpaka baba yake mzazi..
 
Back
Top Bottom