Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;

" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."

Haji.

Alichoandika Haji Manara
 
Itabidi kila mkoloni arudi kwenye koloni lake kuchukua alichoacha
 
Pale Tundulu kuna boma lilijengwa na mjerumani, itabidi nae aje alichukue
 

Nchi ambayo watu wajinga ndio maarufu na wanafuatiliwa na kusikilizwa sana kwenye mitandao ni nchi yenye watu wajinga wengi. Huu ni ukweli japo unaumiza.

Ukitaka kujua hii nchi imeoza kwa kiasi gani, Prof. Shivji aitishe mkutano na wanahabari wa kuuchambua mkataba huo wa DP na Diamond aitishe mkutano na wanahabari wa kuchambua mkataba huo huo. Mtaona ni nani atakusanya wanahabari wengi.

Nchi hii ina watu wajinga wengi, wengi kupita wale wenye akili.
 
Aah kumbe Manara[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

bahati mbaya zaidi hao hao wajinga ndio pia hupata nafasi ya kuingia kwenye mifumo na kuleta disaster kana hizi tunazoona.

Kuna wakati huwa nafikiria inawezekana Taifa hili limetekwa na kuna outsider wanaocontrol mfumo huu kwa manufaa yao binafsi.
 
Ahamie huko aone, yeye ni Muarabu au Lah....ashukuru yupo Tanzania tunaheshimiana....huko hafurukuti.....Hata avae Kanzu ya aina gani!

Kuna umuhimu wa Bandari hii kubakia kwenye mikono ya Mwafrika ....kuondokana na hii mijeledi na mijambia ya
maneno.

Waafrika tumechoka kudhalilishwa na kunyanyaswa.

Ahamie huko!
 
Bahati mbaya Mtanzania Muislam anaamini anapaswa kumtetea muarabu muislamu hata kama analiibia Taifa lake kama ambavyo Mtanzania Mkristo anaamini anaweza kumtetea Mzungu mkristo au muisrael hata kama ni washenzi wanaliibia Taifa lao.

Naweza sema tuna ujinga mwingi sana ambao unatafuna taifa hili na kufanya watu masikini kila kukicha.
 
dah! watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Huyu alifukuzwa ccm kwa kashfa ya utapeli
 
Nimekosa neno la kukuambia ila subiri nipate Kvant nitarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…