Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

Itabidi kila mkoloni arudi kwenye koloni lake kuchukua akichoacha
Ikulu ya Dar ni ya wakoloni waje waichukue walijenga kwa pesa zao asilimia 100

Reli ya kati na kaskazini yote waje wachukue wao ndio walijenga kwa pesa zao

Mashamba yote ya pamba,chai,Kahawa waachiwe wao ndio walileta hayo mazao kwa gharama zao kwa ajili yao nk

Elimu yote yao wapewe wao

Yote tunasoma ni yao walilleta wapewe wao turudi maporini

Na nguo tunavaa wao ndio walileta ikiwemo kanzu na hijabu tuwarudishie tutokomee maporini uchi tukaendelee kuvaa magome ya miti
 
Tanzania ni NCHI ambayo watu wajinga ndio maarufu na wanafuatiliwa na kusikilizwa sana.
NDIO WENYEUSHAWISHI MKUBWA.

Hiki ni kipimo KIKUBWA zaidi Cha UPUMBAVU.
 
Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;

" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."

Haji.
Ndiyo maana yanaitwa mazeluzelu, sasa hiki kasema Nini?
 

Nchi ambayo watu wajinga ndio maarufu na wanafuatiliwa na kusikilizwa sana kwenye mitandao ni nchi yenye watu wajinga wengi. Huu ni ukweli japo unaumiza.

Ukitaka kujua hii nchi imeoza kwa kiasi gani, Prof. Shivji aitishe mkutano na wanahabari wa kuuchambua mkataba huo wa DP na Diamond aitishe mkutano na wanahabari wa kuchambua mkataba huo huo. Mtaona ni nani atakusanya wanahabari wengi.

Nchi hii ina watu wajinga wengi, wengi kupita wale wenye akili.
Huyo orofesa wako hana ulewa ws biashara.


Mwache aendelee kusomesha ujinga.
 
Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;

" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."

Haji.
Tunatafuta ugali kwa nguvu zote
 
Tena kweli kabisa, maili kumi (kilomita 16) zote za mwambao ni za Zanzibar.

Mama hamia Dodoma na Ikulu ya Dar tuwarudishie wenyewe Waarabu.
 
Hili suala linakuvua nguo sana dada yangu. Kwanini umechagua njia isiyo sahihi na kufanya yasiyo sahihi?
20230630_184030.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
bahati mbaya zaidi hao hao wajinga ndio pia hupata nafasi ya kuingia kwenye mifumo na kuleta disaster kana hizi tunazoona.

Kuna wakati huwa nafikiria inawezekana Taifa hili limetekwa na kuna outsider wanaocontrol mfumo huu kwa manufaa yao binafsi.
Na kuna namna hizi, ili uwe mpendwa wa mifumo yetu ni lazima uwe mjinga. Hebu jipe muda kidogo na ufikirie tupo kwenye mjadala kuhusu rasilimali ya nchi yetu halafu mjinga mmoja anakuja na kihoja kama hiki, inatia hasira sana.
 
Bangi najifukiza. Jwenye udi, sivuti.

Mkataba nimeusoma mara 100 kidogo. Upo vizuri sana.
Mkuu yani wewe jipige pige matiti ujiambie "mimi ni mbumbu, mjinga na sina maana"
Hivi ulisha wahi fikiria kizazi kijacho kitatufikiriaje..?
 
Back
Top Bottom