kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Bora tu angekaa kimya😂Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;
" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."
Haji.