Tetesi: Haji Manara kuitwa kwa Mahojiano Polisi huku TFF ikijiandaa kumpiga rungu la uhakika

Hii mutu kutoka kidimbwi fc ibigwe rungu la kichwa,akili zake za kibwege sana.
 
TFF inatakiwa imfungie haji manara kifungo cha maisha kutokujihusisha na soka hapa nchini abaki tu kutangaza juice za bakhresa na magodoro ya GSM
 
Wakati wenzako wanaongea kwa hoja, wewe umejaa upepo na kuleta uhuruma!! Mbele ya sheria hakuna huruma kwa kisa eti una watoto. Utaamini hukumu itakapo tangazwa!
 
Simba haijatajwa na ndio maana Simba wanaendelea na ishu zao na Wala hawajarespond....ishu ni TFF wamhoji Manara kujua alikuwa anaelezea Timu gani .. ya Taifa au Club
 
hila manara ni hatari kwa usalama wa Nchi, yale maneno ni makali sana,angefungiwa kujihusisha kabisa na michezo huyu kaka
 
Kuna watu huwa nawaona wajanja kumbe wa kawaida sana. Sasa hapo Polisi wanamwita Manara kumhoji kuhusu tuhuma dhidi ya nani?
 
hila manara ni hatari kwa usalama wa Nchi, yale maneno ni makali sana,angefungiwa kujihusisha kabisa na michezo huyu kaka
Malaika: Omba chochote utakacho nitakupa ila jirani yako nitampa mara mbili ya ulichoomba.

" NIPE CHONGO MALAIKA, NAOMBA CHONGO MIMI NA USIMSAHAU JIRANI"
 
Acha ujinga wewe mbuzi...hata iweje manara tutamfata popote pale hutaki kunywa sumu.
 
Malezi ya hovyo na ugumu wa maisha unakufanya una kasikirikia watu
Ningekuwa nina Malezi ya hovyo nadhani ningekuwa Mpumbavu kama Wewe 24/7 hapa JamiiForums.

Ningekuwa na Ugumu wa Maisha sidhani kama ningeweza hata tu kupata Pesa ya Kununua Bando na kuwa hapa au ningekuwa nakuomba Hela au nakuja Kula Kwako Mwendawazimu Wewe.

Kwa Mwerevu kama Mimi ni lazima tu nikikutana na Watu kama Wewe ambao Ubongo wao umejaa Usaha na Uharo unaotokana na Kurithishwa ni lazima tu nitakasirika.
 
Nilijua tu kuwa kuna Wapumbavu kama Wewe mtakuja na huu Utetezi hivyo nakupa Darasa kidogo tu la Kisheria ili Ujifunze.

Katika Sheria kuna Ushahidi wa Kiuhalisia na ule wa Kimazingara. Ni kweli Msemaji wa Yanga SC Haji Manara katika post yako hajaitaja Simba SC ila Ushahidi ufuatao wa Kimazingira unamuweka hatiani.

Kwanza ameandika post yake akiwatagi ( akiwataarifu ) Watu wa Asec Mimosa FC waliocheza na Simba SC jana.

Pili ameandika post yake hiyo katika Siku husika ya Mechi ya Simba SC na Asec Mimosa FC.

Tatu Kitendo cha Mtandao wa Asec Mimosa FC iliyocheza na Simba SC jana Kumjibu Haji Manara kuhusu huo Upumbavu wake aliouandika ni Uthibitisho tosha kuwa alilenga Kuihujumu Simba SC jana.

Nakuuliza Swali dogo tu hivi kama post ile ya Hajj Manara ilikuwa haina madhara ya Kisheria na akifunguliwa Kesi atachomoka unadhani ni kwanini haraka sana aliamua Kuifuta?

Tafadhali mkijijua ni Wapumbavu acheni Kuchangia Mada ( Threads ) za Watu Werevu na zinazohitaji Watu Werevu kuzijadili na nyie mbakie tu Wasomaji au Watazamaji sawa?
 
Ne
Mkuu wakti mwingine njoo na viambata vya nini huyo haji amesema. Unapokuja na fikra zako tu hapa unatuchanganya. Sasa vipi kama unamzushia? Lete viambata tutaamua wenyewe kama kukubaliana na wewe au vinginevyo.
 
Jamaa anafanya muendelezo tu wa uadui wa jadi... hapo hakuna kesi hivi hizo shutuma hazikuwahi kutolewa pia na timu fulani? Basi aseme tu alitoa angalizo yasije wakuta yaliyowakuta kina Fulani
 
We bwege baki huko huko kweye tasnia yako ya wajinga ya sijui uandiashi wa Nini. Huku kwenye Sheria paache, siyo sehemu ya watu vibwengo Kama wewe.
Huo ushahidi wa mazingira hata unajua maana yake au unaropoka tu.
 
Hakuna kesi hapo wapi imetajwa Simba
Nilijua tu kuwa kuna Wapumbavu kama Wewe mtakuja na huu Utetezi hivyo nakupa Darasa kidogo tu la Kisheria ili Ujifunze.

Katika Sheria kuna Ushahidi wa Kiuhalisia na ule wa Kimazingara. Ni kweli Msemaji wa Yanga SC Haji Manara katika post yako hajaitaja Simba SC ila Ushahidi ufuatao wa Kimazingira unamuweka hatiani.

Kwanza ameandika post yake akiwatagi ( akiwataarifu ) Watu wa Asec Mimosa FC waliocheza na Simba SC jana.

Pili ameandika post yake hiyo katika Siku husika ya Mechi ya Simba SC na Asec Mimosa FC.

Tatu Kitendo cha Mtandao wa Asec Mimosa FC iliyocheza na Simba SC jana Kumjibu Haji Manara kuhusu huo Upumbavu wake aliouandika ni Uthibitisho tosha kuwa alilenga Kuihujumu Simba SC jana.

Nakuuliza Swali dogo tu hivi kama post ile ya Hajj Manara ilikuwa haina madhara ya Kisheria na akifunguliwa Kesi atachomoka unadhani ni kwanini haraka sana aliamua Kuifuta?

Tafadhali mkijijua ni Wapumbavu acheni Kuchangia Mada ( Threads ) za Watu Werevu na zinazohitaji Watu Werevu kuzijadili na nyie mbakie tu Wasomaji au Watazamaji sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…