Kunako mfaa Manara Ni kwenye siasa tu!Huyu angefungiwa maisha tu
Si kwa vile hawana marinda kama alivyosema Kabwili kuwa huko Yanga kaacha wengi wa jinsi yake ileee.Kwa hiyo ingawa walishinda but walijinyea.
Exactly, aka kajamaa ni kirusi hatari kwenye soka la TzSasa haya mambo aliyo zungumza ndo ilitakiwa akate rufaa, akiambatanisha na nakala au kielelezo chenye shutuma hizi. Kwann aongee na vyombo vya habari, akati taratibu na kanuni zipo wazi na alipewa nafasi ya kufanya hivyo.
Kwahiyo baada ya penalties kupigwa, ndo akatoka huko hotelin hadi uwanjan na kumfata katibu wa TFF akiwa na sigara ya embassy na kiberiti cha gas na kuanza kuropoka maneno machafu kuhusu Rais wa TFF?? Sijaona sehemu akikana mashtaka yanayomkabili zaidi ya kuongea visivyo na mantiki.
Hapa anataka kutafuta huruma kwa raia na anajua atawachota wengi, sheria ifuate mkondo wake.
Kudai haki bila kutimiza wajibu ni Fujo.
dada upo? achana na huyo mswahili..kadri anavyoongea anazidi kuharibu ugali wake..sjui maboss zake wanawezaje kufanya nae kazi.Mbona mazeruzeru wengine wana akili? Why not him?
Dah kweli umewaza vizuriManara huko koote nia ni kutafuta uhalali wa kuitania utopolo. Ni mke aliyeolewa sababu ya pesa ila ana mpenzi wake.
Naona hata hao mabosi nao wamemchoka ndiyo maana wanamuelekeza njia ya kujimaliza yeye mwenyewe. Kama amepewa room ya kukata Rufaa hizi kelele anazofanya na zinazofanywa na wale wazee wa Yanga ni mpangomkakati wa kuachana na takadini kiana bila wao kuwa na lawama. Hii kauli ya leo ndiyo imehitimisha rasmi ajira ya zeruzeru kwenye tasnia ya mpira wa miguu. Kwaheri Haji Sunday Manara katika mpira wa Tanzania. Mazwazwa walikupenda ila TFF imekupenda zaididada upo? achana na huyo mswahili..kadri anavyoongea anazidi kuharibu ugali wake..sjui maboss zake wanawezaje kufanya nae kazi.
Numbi bwana hhahhhaha umerudia mara kibaooBrand ya kutukana na kutapeli watu
Ni bora Manara kaongea maana ni maswali ambayo nilikuwa najiuliza na sipati majibu, Kamati ilisema manara alimtolea maneno machafu karia lakini Maneno aliyoyatoa karia kwa manara kamati aikuyasema!!! Hukumu ililenga maneno ya manara tu aikuyaona maneno ya karia??? Ni mambo ya ajabu aya kwamba Manara atoke uko alipo aende kumtolea karia maneno machafu bila sababu aiingii akilini! Sasa leo tunashukuru tumeyajua maneno aliyoongea karia kumbe yeye ndo chanzo cha kurushiana maneno alafu kamati yake inafunika kombe mwanaharamu apite kwa kumuangushia manara jumba bovu badala ya kuanza na bossi wao? Hii sio sawa ata kidogo kama ni sheria basi ingewakata wote na sio kufanya masmuzi ya ovyo kama yaleManara: Sikuwa nataka baada ya kusomwa hukumu ile niseme lolote wala sio kawaida yangu lakini kwakuwa hukumu ile ilikuwa na mambo mengi ya kuchafua jina langu, kuharibu reputation na image yangu lakini ya kuififisha brand yangu ambayo nimeijenga kwa jasho jingi na kwa miaka mingi.
INAENDELEA...
Manara: Kwanza niwaeleze exacly nini kilitokea, nilikuwa nimekifumba wakati ule kwa nia tu kumaliza jambo lile kiungwana, kwa nia ya kujishusha ili mambo yamalizike katika mambo ya kiungwana.
Nilikuwepo mpirani kwenye mechi ile ya fainali, tulitangulia kufungwa goli na Coastal union na nilikaa katika eneo la wageni. Half time kama wengi mnanifahamu, mechi huwa siangalii dakika 90 nyingi tena zile ambazo bahati mbaya tunatangulia kufungwa, presha iko juu.
Half time nimeshawaambia vijana tushuke tuondoke, presha ilikuwa ishapanda.
========
Manara amedai akiwa anandoka uwanjani, mkuu wa mkoa wa Arusha, John Mongella alimuita na akiwa anaongea naye, Rais wa TFF aliongea kwa ukali aondoke eneo hilo akidai amekufa mtu, Manara anasema mwili wa Wallace Karia ulikwa umeelekea kwa viongozi wa coastal union huku kidole kimeenda kwa Manara.
Manara anasema mkuu wa mkoa na viongozi wengine wakamtoa akaondoka lakini baadae akamfata alipo ndipo na yeye akapandisha.
Manara: Ilikuwa ni tukio baya sana lakini Mungu alinipa subra sikumjibu jibu lolote baya, baadae nikaondoka nikarudi, penati niliangalia nikiwa chumbani.. Tulipopata penati ya mwisho nikachukua gari nikarudi uwanjani, hoteli niliyofikia ilikuwa dakika tano.
Manara anadai Karia alimtaka akamuombe msamaha nyumbani kwake, wapige picha na azungumze na waandishi wa habari. Manara amesema picha aliyoweka mtandaoni ilipigwa na mtoto wa Karia.
Manara anadai Karia alimwambia maneno ambayo yeye Manara kinywa chake kuyatamka ni aibu. Alitamka kwamba watu wa Yanga wamepambana sana mechi ilikuwa ngumu kwenye nguo zao za ndani zina kinyesi.
Zeruzeru ndiye muharibifu wa amani tuliyonayo.Huyo Msomali anataka kuharibu amani tuliyonayo.
Ile kamati inateuliwa na Karia. Sasa hapo unategemea nini ?
Unakata rufaa vp ukiomba nakala ya hukumu hupewiSi akate rufaa tu.Najiuliza hivi kwenye kamati ya maadili hakupewa nafasi ya kujitetea au kamati hiyo hufanya maamuzi kutokana na maelezo ya mlalamikaji tu bila kumsikiliza mlalamikiwa? Na jee kamati ya maadili ndiyo yenye uamuzi wa mwisho? Hakuna ngazi ya rufaa dhidi ya maamuzi ya kamati ya maadili?
Manara hajitambui, afu limbukeni Sana[emoji3525]Yani bado mchizi anatumia hoja zipe zile za kishamba alizotumia kwa MO
Kusema Karia anamchukia Manara kwasababu ya umaarufu hizi ni hoja ambazo zitaweza kuzingatiwa na wajinga
TFF ni aibu tupu ndio maana soccer haiendelei, hope kuna namna ya kukatia rufaa huu upuuzi wa TFF.
Hata kama amechokozwa,kosa alilofanya ni kutoa maneno machafu.Mimi mpaka sasa ninaamini MANARA alichokozwa na Karia
Hatuna Rais pale; tumepigwa