Kuna siku nilimkuta posta mpya kwenye foleni kabla Mo hajaja Simba kapo kwenye Suzuki imechoka kameloa jasho sijui hata km ile gari ilikuwa na AC hadi nikamuonea huruma eti leo anabrand [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah kweli hamnazo.Kabla ya Mo kuja Simba huyu bwege haya ndiyo yalikuwa maisha yake,ukizoom utaona mkono wa kushoto(mkono wa mavi) ambekumbatia viandazi ambavyo aliviibaView attachment 2303464
Anakataje rufaa na nakala ya hukumu hamtaki kumpaNaona hata hao mabosi nao wamemchoka ndiyo maana wanamuelekeza njia ya kujimaliza yeye mwenyewe. Kama amepewa room ya kukata Rufaa hizi kelele anazofanya na zinazofanywa na wale wazee wa Yanga ni mpangomkakati wa kuachana na takadini kiana bila wao kuwa na lawama. Hii kauli ya leo ndiyo imehitimisha rasmi ajira ya zeruzeru kwenye tasnia ya mpira wa miguu. Kwaheri Haji Sunday Manara katika mpira wa Tanzania. Mazwazwa walikupenda ila TFF imekupenda zaidi
Kwann hajaitwa karia binafsi na badaka yake secretariet kama ni SWALA la kibinafsiHalafu lile tukio ni yeye binafsi na kiongozi wa Tff,lakini kwenye press yake anajifichia kwenye timu ya Yanga na viongozi wake, huyu jamaa anajiona yeye ndio mwamba wa kuongea, hapa Tff wanatakiwa wamuadhibu tena adhabu kali sana
Maisha ni mapambano kwani kuchoka kimaisha Kwa mtu ww unafaifika na niniKuna siku nilimkuta posta mpya kwenye foleni kabla Mo hajaja Simba kapo kwenye Suzuki imechoka kameloa jasho sijui hata km ile gari ilikuwa na AC hadi nikamuonea huruma eti leo anabrand [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah kweli hamnazo.
Manara yupo Yanga ila bado anawataniaMimavi FC kudadadeq zao
Manara anawatania kijanja UtopoloHahaaaa mwiko umepakua urojooo
Karia ndo alimprovoke Manara.Kwahiyo unataka kusema Manara hana kosa hakukosea ameonewa.
Ina maana hayo maneno ya Karia (kuhusu kinyesi) amesikia Manara tu. Senzo, gharib, wengine wote wasisikie asikie manara tu. jiongeze wewe. ile press ya kabla manara alisema lolote kuhusu karia kutoa maneno ya matusi? kwanini aseme leo. anatafuta nn?Kwann karia hajaitwa wewe from know where unaeza kumrushia maneno mtu ..?
Kapambania wapi watu wang'arishe timu wewe uje uteleze useme umepambania, hapo Yanga alipo amepambania kuifanya Yanga iwe level iliyopo sasa,acheni kutelezea kwenye mifuko ya watu.Maisha ni mapambano kwani kuchoka kimaisha Kwa mtu ww unafaifika na nini
Yaani na mimi nimekuwa TFF wewe unachakatwa nini?Anakataje rufaa na nakala ya hukumu hamtaki kumpa
Kwaio manara atoke alikotoka aanze kumtukana kariaIna maana hayo maneno ya Karia (kuhusu kinyesi) amesikia Manara tu. Senzo, gharib, wengine wote wasisikie asikie manara tu. jiongeze wewe. ile press ya kabla manara alisema lolote kuhusu karia kutoa maneno ya matusi? kwanini aseme leo. anatafuta nn?
karia kapeleka uahahidi wake ndo maana manara kahukumiwa.
We simba mambo ya yanga yanakuhusu nnKapambania wapi watu wang'arishe timu wewe uje uteleze useme umepambania, hapo Yanga alipo amepambania kuifanya Yanga iwe level iliyopo sasa,acheni kutelezea kwenye mifuko ya watu.
Akajifunze maisha na kuheshimu watu wengine sio mnashinda vijiweni kusubiria vitonga
Afu kanuni inayomuhukumu haijasajiliwaManara akitaka kumshtaki Karia anaenda wapi?... Nani yupo juu ya Karia protocol
Limepita gari la taka hapa nikajua mimavi fcWe simba mambo ya yanga yanakuhusu nn
Materazzi vs Zidane nani alimuanza mwenzie?Turudi kwenye point nani alimuanza mwenzie