ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Kuna siku nilimkuta posta mpya kwenye foleni kabla Mo hajaja Simba kapo kwenye Suzuki imechoka kameloa jasho sijui hata km ile gari ilikuwa na AC hadi nikamuonea huruma eti leo anabrand [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah kweli hamnazo.Kabla ya Mo kuja Simba huyu bwege haya ndiyo yalikuwa maisha yake,ukizoom utaona mkono wa kushoto(mkono wa mavi) ambekumbatia viandazi ambavyo aliviibaView attachment 2303464