ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Manara siku zote ni shabiki la Yanga watu hawaelewi!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli mlifunga chochote kwa ajili ya kudukua taarifa zake, hili ni kosa la jinai chini ya Sheria ya Makosa ya Kimtandao na polisi wanapaswa waanze kukukata ili kusaidia upelelezi.Nasikia unapanga kufanya Press Conference yako ya Kutapika Nyongo yako dhidi ya Simba SC hasa Watendaji wake kati ya Jumatatu au Jumanne ijayo.
Nami pia nakuonya mapema sana just ya hili kwani ukitekeleza hii adhma yako utakuwa umekaribisha Mashambulizi hatari ya Kiyahudi dhidi yako.
Wakati ukijiandaa Kutema Nyongo na Kuichafua Simba SC hasa Watendaji wake nami nakuambia tu ya kwamba tunamalizia Kuzipangilia Meseji zako zote za Kuihujumu Simba SC kwa Yanga SC kupitia Marafiki zako Watatu wa Yanga SC na Mmoja akiwa ni Mtoto wa Mstaafu Mmoja Tanzania.
Baada ya hapo tutaweka Ushahidi wa Kijiografia wa ulipokuwa Siku ya Jumanne na Jumatano eneo la Kigamboni na Maadui wa Simba SC.
Nakuomba mtafute Mtaalam yoyote kisha alikague Gari lako kisha utagundua kuna nini Kilifungwa bila Wewe Kushtuliwa ili ujue kuwa pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini ila bado ni Mngendembwe tu kwa waliokuzidi Akili.
Mwambie pia na Mkeo kuwa hizo Chattings zake na Waandamizi na Matajiri wa Yanga SC ili Wewe utumike kama Delilah kwa Mumeo Haji Manara tunazijua na zipo tayari tayari pia.
Jana umejifanya Kusambaza Voice Note Kisanii ukijifanya Unalia ili kutatuta Huruma kwa Watu kisha baada ya hapo ukawa unacheka na Watu Wawili mliokuwa nao hapo Mikocheni na baadae mkaenda Kugambeka eneo Jirani.
Na ulilolisahau ni kwamba hata huko Yanga SC ambako unatumika kuna Watu wa Simba SC ambao ni wana Yanga SC kama ilivyokuwa huko nyuma ambapo Kaburu alikuwa Simba SC ila alikuwa ni mwana Yanga SC na Kifukwe alikuwa Yanga SC lakini Kiuhalisia ni mwana Simba SC.
Haji Manara umeshajiuliza ni kwanini ile Juzi ulipoenda Kisiri Kigamboni Avic Town walipo Yanga SC muda huo huo tu CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez akakutumia Meseji fupi ya Kukuambia uache Ujinga, Unafiki na Usaliti?
Nina mengi juu yako Haji Manara ila nakuonya acha Kudanganyika na Kutumika na hao wanaokupa Kiburi na nakuambia usije Kuthubutu kufanya hiyo Press Conference yako Wiki ijayo kwani Simba SC haitokujibu na nawaomba Simba SC wasikujibu ila watuachie Sisi tunaokujua vyema ndani nje tuweze Kukuanika na najua hata hawa wanaokuamini na kukuonea Huruma leo hii watakuchukia.
Umeshatusaliti vya kutosha inatosha!!!!
Huyu manara atimuliwe ni mhujumu team kabisa100% Yes na hata ile ya Kaizer Chiefs kuna Jambo baya la Kimkakati aliwashirikisha Yanga SC ambao nao kuna namna kwa Kumtumia Senzo Mazingiza walifanya kwa Kaizer Chiefs FC ila Kiongozi Mmoja wa Serikali mkubwa tu akamuombea Radhi.
Mtafuteni mumuulize juu ya hili kwani linajulikana ndani ya Kamati Kuu za Kimashindano za Simba SC isipokuwa Simba SC humalizana kimya kimya na pengine hata Kimafia kama ukijifanya ni Jeuri.
Wewe shabiki wa ngongowazi mchukueni huyo ManaraAcha kumtisha Haji.
Mimi ni MwanaSimba ila muumini sana wa ukweli. Kama kuna longolongo zinafanyika huko ndani, Haji aeleze ukweli.
Hatuwezi kuyakimbia matatizo kwa kujidanganya kuwa hayapo. Na bora yajulikane na kutatuliwa kwa muda huu, kuliko tuendelee kuyafuga baadae yatuharibie.
Muda pekee wa kuwekwa wazi ni sasa wakati tupo ukingoni mwa mechi za mashindano. Likizo iishe na varangati hili liishe. Tukirudi tupo fresh kabisa.
Kuna matatizo mengi Simba SC, ila kivuli cha kufanya vizuri kinayaficha hayo yaliyopo.
Ukweli ni kuwa, Haji kakosea. Lakini, hatuwezi kumtisha kwa kumzuia kusema uozo uliopo.
Hapa kama mwasimba mwenye itikadi Kali nimepata gadhabu Kali angekua karibu yangu ningemtafunaNasikia unapanga kufanya Press Conference yako ya Kutapika Nyongo yako dhidi ya Simba SC hasa Watendaji wake kati ya Jumatatu au Jumanne ijayo.
Nami pia nakuonya mapema sana just ya hili kwani ukitekeleza hii adhma yako utakuwa umekaribisha Mashambulizi hatari ya Kiyahudi dhidi yako.
Wakati ukijiandaa Kutema Nyongo na Kuichafua Simba SC hasa Watendaji wake nami nakuambia tu ya kwamba tunamalizia Kuzipangilia Meseji zako zote za Kuihujumu Simba SC kwa Yanga SC kupitia Marafiki zako Watatu wa Yanga SC na Mmoja akiwa ni Mtoto wa Mstaafu Mmoja Tanzania.
Baada ya hapo tutaweka Ushahidi wa Kijiografia wa ulipokuwa Siku ya Jumanne na Jumatano eneo la Kigamboni na Maadui wa Simba SC.
Nakuomba mtafute Mtaalam yoyote kisha alikague Gari lako kisha utagundua kuna nini Kilifungwa bila Wewe Kushtuliwa ili ujue kuwa pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini ila bado ni Mngendembwe tu kwa waliokuzidi Akili.
Mwambie pia na Mkeo kuwa hizo Chattings zake na Waandamizi na Matajiri wa Yanga SC ili Wewe utumike kama Delilah kwa Mumeo Haji Manara tunazijua na zipo tayari tayari pia.
Jana umejifanya Kusambaza Voice Note Kisanii ukijifanya Unalia ili kutatuta Huruma kwa Watu kisha baada ya hapo ukawa unacheka na Watu Wawili mliokuwa nao hapo Mikocheni na baadae mkaenda Kugambeka eneo Jirani.
Na ulilolisahau ni kwamba hata huko Yanga SC ambako unatumika kuna Watu wa Simba SC ambao ni wana Yanga SC kama ilivyokuwa huko nyuma ambapo Kaburu alikuwa Simba SC ila alikuwa ni mwana Yanga SC na Kifukwe alikuwa Yanga SC lakini Kiuhalisia ni mwana Simba SC.
Haji Manara umeshajiuliza ni kwanini ile Juzi ulipoenda Kisiri Kigamboni Avic Town walipo Yanga SC muda huo huo tu CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez akakutumia Meseji fupi ya Kukuambia uache Ujinga, Unafiki na Usaliti?
Nina mengi juu yako Haji Manara ila nakuonya acha Kudanganyika na Kutumika na hao wanaokupa Kiburi na nakuambia usije Kuthubutu kufanya hiyo Press Conference yako Wiki ijayo kwani Simba SC haitokujibu na nawaomba Simba SC wasikujibu ila watuachie Sisi tunaokujua vyema ndani nje tuweze Kukuanika na najua hata hawa wanaokuamini na kukuonea Huruma leo hii watakuchukia.
Umeshatusaliti vya kutosha inatosha!!!!
Msimtishe, Manara, kama mlijua tangu zamani mbona hakukuwa na reaction?
Hakuna cha GPS wala tracking yoyote. Sema amepiga kwenye Mshono tu.
Hapotezi chochote , Simba itawagharimu.
Muguseni muone nani atanuka
Ashapewa maonyo ya kutosha anabarua 16, za kinadham ila anakaidi kilicho baki ni kipigo tuMsimtishe, Manara, kama mlijua tangu zamani mbona hakukuwa na reaction?
Hakuna cha GPS wala tracking yoyote. Sema amepiga kwenye Mshono tu.
Hapotezi chochote , Simba itawagharimu.
Muguseni muone nani atanuka
Kwa hiyo Na wewe umesahau maneno ya Mzee Rage kuhusu status ya hawa wenzetu?Yaani unasubiri Manara afanye press ndio na wewe useme yako? So Manara asipofanya press na wewe utapiga kimya kuficha hayo mabaya yake ambayo wewe unadai unayajua? Haya ni maajabu aisee,kwa tafsiri ya ulichokiandika hata wewe unafanya hujuma kwa kuficha unayo yajua japo hii thd inaonekana ni mkwala tu.