Haji Manara nakuonya mapema usifanye hiyo Press Conference yako ya Kuwachafua Waandamizi wa Simba SC wiki ijayo

Haji Manara nakuonya mapema usifanye hiyo Press Conference yako ya Kuwachafua Waandamizi wa Simba SC wiki ijayo

Na sisi tutaeleza mahusiano yake na Mzee Tozi na kisa cha yeye kukalia tako moja hadi leo. Aseme su aone.
 
Kama ni kweli haji anayo haki ya kuwashtak simba kwa kumdukua ngoja tuone..Alaf tusimkataze haji kuto ongea.Tujiulize anayoyaongea hayana msingi?.Hayahitaji kuyajadili? Au na nyie ndo mnatetea upigwaji
 
Back
Top Bottom