Haji Manara nakuonya mapema usifanye hiyo Press Conference yako ya Kuwachafua Waandamizi wa Simba SC wiki ijayo

Hahah!

Simba na Yanga buana... wanajipata kama wao ni Liver na ManU
 
Msimtishe, Manara, kama mlijua tangu zamani mbona hakukuwa na reaction?
Hakuna cha GPS wala tracking yoyote. Sema amepiga kwenye Mshono tu.

Hapotezi chochote , Simba itawagharimu.
Muguseni muone nani atanuka
 
Kama ni kweli mlifunga chochote kwa ajili ya kudukua taarifa zake, hili ni kosa la jinai chini ya Sheria ya Makosa ya Kimtandao na polisi wanapaswa waanze kukukata ili kusaidia upelelezi.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu manara atimuliwe ni mhujumu team kabisa
 
Wewe shabiki wa ngongowazi mchukueni huyo Manara
 
Hapa kama mwasimba mwenye itikadi Kali nimepata gadhabu Kali angekua karibu yangu ningemtafuna
 
Msimtishe, Manara, kama mlijua tangu zamani mbona hakukuwa na reaction?
Hakuna cha GPS wala tracking yoyote. Sema amepiga kwenye Mshono tu.

Hapotezi chochote , Simba itawagharimu.
Muguseni muone nani atanuka

Alishaonywa mara nyingi kwa barua ila kwa mapokezi ya jana huko kigoma manara ajiandae tu kisaikolojia
 
Yaani unasubiri Manara afanye press ndio na wewe useme yako? So Manara asipofanya press na wewe utapiga kimya kuficha hayo mabaya yake ambayo wewe unadai unayajua? Haya ni maajabu aisee,kwa tafsiri ya ulichokiandika hata wewe unafanya hujuma kwa kuficha unayo yajua japo hii thd inaonekana ni mkwala tu.
 
Msimtishe, Manara, kama mlijua tangu zamani mbona hakukuwa na reaction?
Hakuna cha GPS wala tracking yoyote. Sema amepiga kwenye Mshono tu.

Hapotezi chochote , Simba itawagharimu.
Muguseni muone nani atanuka
Ashapewa maonyo ya kutosha anabarua 16, za kinadham ila anakaidi kilicho baki ni kipigo tu
 
Kwa hiyo Na wewe umesahau maneno ya Mzee Rage kuhusu status ya hawa wenzetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…