LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate.
Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja..
This is true of Haji in the USA, akifika DC ataenda kupiga picha karibu na White House🤣🤣🤣