Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

Mwacheni afurahie maisha bhana...na pia kada aliyopo inamruhusu....Arusha mapicha picha it's ok
 
Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate.

Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja..

This is true of Haji in the USA, akifika DC ataenda kupiga picha karibu na White House[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipofu kaona jua
 
Ikiwa ni mara ya kwanza au ya 100 wewe unahusikaje?

Kweli umeona hili ni Jambo la kujadili?

Mkuu LIKUD tubu
 
Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate.

Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja..

This is true of Haji in the USA, akifika DC ataenda kupiga picha karibu na White House🤣🤣🤣
Kama niliwahi kusoma sehemu, zamani kidogo, kuwa baba'ke Haji Manara ni katika wachezaji mpira wa mwanzo wa Tanzania waliowahi kucheza mpira Ulaya (Uholanzi) na baadae USA na Australia halafu UAE.

Haji alikuwa anaishi na wazazi wake.

Labda hajaenda toka utotoni kama aliishi huko na wazazi wake.
 
Kama niliwahi kusoma sehemu, zamani kidogo, kuwa baba'ke Haji Manara ni katika wachezaji mpira wa mwanzo wa Tanzania waliowahi kucheza mpira Ulaya na baadae USA na halafu UAE.

Haji alikuwa anaishi na wazazi wake.

Labda hajaenda toka utotoni kama aliishi huko na wazazi wake.

Alizaliwa Amsterdam alikuja akiwa mdogo sana yes inawezekana alienda akiwa mdogo
 
Back
Top Bottom