Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Mimi pia...bora kufia huko huko...hata mizimu ikasirike vipi sirudi ng'o😆Siku nikikanyaga marekani mimi, bongo sirudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia...bora kufia huko huko...hata mizimu ikasirike vipi sirudi ng'o😆Siku nikikanyaga marekani mimi, bongo sirudi
Nimesahau🤣🤣🤣🤣🤣
Kama ulikuwepo hivi3.mlimani city
Je mtu akitoka Bunda vijijini akija Dar mara yake ya kwanza inakuwa vipi hapo ?Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate.
Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja..
This is true of Haji in the USA, akifika DC ataenda kupiga picha karibu na White House🤣🤣🤣
Naiona vile hii imetoka Moyoni😃Siku nikikanyaga marekani mimi, bongo sirudi
Yani watanirudiasha parcel tofauti na hapo sirudi....Mimi pia...bora kufia huko huko...hata mizimu ikasirike vipi sirudi ng'o😆
Haki a mama tena 😁😁😁Naiona vile hii imetoka Moyoni😃
Ukienda Italy si ndiyo uta delete number zetu kabisa?😄Yani watanirudiasha parcel tofauti na hapo sirudi....
kuna mdada anaenda German nitamuomba mwaliko kutest, akikubali tu bora nikaokote makopo huko 🤣🤣🤣
Huwa wanalidogolisha, wanasema anaendesha 'kigari' au wanasema 'gari la mkopo', nafikiri inawafanya wajisikie vizuri baada ya kutamka hayo.Tafuta pesa brother punguza wivu.
Hata hao wanaotoka vijijini uliowaponda wakianza kutembelea ma range rover nahisi watu kama wewe mnaanza kujadiliana "huyo mshamba tu, gari wengine tumeanza kuendesha zamani" hapo mda huo huna hata gari,
Ukiona upo nje ya Dar wewe ni wa mkoani😁Mkoani ni wapi na Dar ni wapi? Huo huwa ni ubaguzi wa kikabila coz haimanishi anaeish Dar ni bora zaid kulko wengne,kuna watu Dar hushinda njaa na kusindkiza wenzaoo[emoji16]
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Posta ni ya pili
Ya kwanza ilikuwa Flyover ya Kijazi.
Kule kwetu Tukuyu tunaona milima tu.
Nakuja Dar nikakuta barabara ya hewani bwana.
Kwa heshima ya Mhe Balozi Dr John Kijazi ya kutupa vyeti vyetu kwa wakati mara baada tu ya mahafali kuisha,nilienda kumuenzi kwa kupiga selfie ya kwanza Daslama kama ishara ya heshima.
Alinitunuku shahada yangu pale chuo chetu cha kata 2020 kabla hajakata kamba.
Intelijensi ofisa wa mavi 😂😂😂 kwahyo ukaona hiyo ndio kazi ya akili mingi. Acha wivu urudi kwenye jinsia yako halisiUr a poor judge of character. Wivu upo wapi hapo kwenye Uzi wangu?
Hufai kuwa intelligence officer cause huwezi kusoma rhythm ya maandishi ya mtu
Umeongea ukweli mjini kuna watu wanalazimisha kuishi ila maisha yao yanatia simanzi sanaMkoani ni wapi na Dar ni wapi? Huo huwa ni ubaguzi wa kikabila coz haimanishi anaeish Dar ni bora zaid kulko wengne,kuna watu Dar hushinda njaa na kusindkiza wenzaoo[emoji16]
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app