Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

Mimi pia...bora kufia huko huko...hata mizimu ikasirike vipi sirudi ng'o[emoji38]
Utarudije kwenye laana?

USA ndio Dunia ilipo.

Nchi zetu hizi za kiafrika sidhani kama tupo Duniani, Tupo kuzimu bado.

Maana Afrika kila kitu ni shida, utadhani upo kuzimu.

Kufika USA unakuwa umevua laana na umeingia Duniani.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Mbona mimi nilipokuja dar es salaam sikufika koko wala daraja la manzese na mpka now nipo town sijawahi fika coco. Ukipunguza kawivu utakua tofauti na jinsia ya kike
Kuna watu wengi wanakuja Dar na kuishia Kimara.... Afu wanatamba mi nshafika Dar....
 
Dar is nothing kama huna jambo la maana unaganga njaa unajiona upi town ni ujinga unamaisha ya kuunga unga unajiona upo mjini ni uzwazwa. Ulishawahi pita maeneo wanayokaa watu wenye vyao hasa usiku hata harufu ya dawa za mmbu ni tofauti na uswahilini. Ukipita mtaani madirisha mawili sumu ya mmbu dirisha linalofuata udi jingine wanachoma ubani mashtaka mambo ni tafrani na wanajihesabu wapo mjini. Maana ya kuwa mjini ujipate ukiishi kama panya unajitesa tu. Yupo alieishia kibaha ila analife zuri kuliko aliepo kinondoni. Wengi wetu mji unatula hatuli maisha mjini
 
Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate.

Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja..

This is true of Haji in the USA, akifika DC ataenda kupiga picha karibu na White House🤣🤣🤣
Chai
 
Nilichojifunza mjini kuna vijiji vilivyochangamka vinaitwa Uswahilini
 
Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate.

Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja..

This is true of Haji in the USA, akifika DC ataenda kupiga picha karibu na White House🤣🤣🤣
Hahaha huwezi amini kapigia picha kwenye vile vi korido vya kupndia kwenye ndege yaani mshamba
 
Wewe umejua, hizo ni corridor za kutoka waiting area kuelekea kwenye kupanda ndege.

Hopefully akifika huko Mambele ataleta picha za kutosha

========

Ila sio mbaya nasi kama uchumi umeimarika sio vibaya kuwa na hizo tour walau ku-refresh maana hizi stress za Bongo kwa kweli ni Mungu tu ndiyo anajua
 
Ni ushamba kumbuka kwenye hizo njia kunakuwaga na watu wengi na kila mtu yupo busy sasa yeye inamaana alionekana mshamba sana maana alisubiri watu wote wapite ndiyo apige picha
 
Ndiyo maana Mleta mada ame-conclude ushamba.

Kuna haja Serikali iharakishe michakato ya upatikanaji wa Hati ya Kusafiria ili Vijana wengi wawe na access ya kusafiri na kupata exposure
 
Yani watanirudiasha parcel tofauti na hapo sirudi....
kuna mdada anaenda German nitamuomba mwaliko kutest, akikubali tu bora nikaokote makopo huko 🤣🤣🤣
Hakikisha unazaa kabisa na mzungu ili upate rogic reason ya kutorudi uku
 
Siku nakanyaga marekani nitafungua uzi humu nitume picha bila kuziba sura....hapana chezea USA muacheni ajimwayemwaye mzaramo wa watu
šŸ˜‚šŸ˜‚ ukienda nakuja kukuchukua ukichelewa kurudi mkuu
 
Back
Top Bottom