Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

Hebu Sema bff me nikienda lazima kila mtu ajue siendi kimya kimya

Na unaanzaje kwa mfano?? Me watajuta nawaekea status WhatsApp wasipo view nawatumia uko uko inbox yani mpk taarifa wazipate!!! Visa yake tu kuipata sio mchezo [emoji23][emoji23][emoji23]

Bff vipi ile issue yetu unaendelea??
 
Hivi mnafanya mchezo na maandishi matatu?? USA iheshimiwe na watu wote
Hivi cocastic shem Kiranga ticket anatutumia lini? Me nishachoka kusubiri
Dah, leo ndiyo nime "confirm", kumbe Kiranga ni walewale, nilikuwa natilia shaka siku nyingi na nilishawahi kumwambia kwa ID yake nyingine. Lakini hii ya leo ni "super confirmation".

Chukulieni kuwa mmeuvaa mkenge.
 
Naunga
Haji ni "typical" mtoto wa Kariakoo, ana kichwa kizuri sana, sema uhuni uhuni wa Jangwani aliokulia nao ndiyo unamsubuwa. "Otherwise" Haji ni akili kubwa.

Haji akijipiga polish sehemu ndogo sana ya maisha yake, atakuwa ni mtu wa Kimataifa.
Mkono hoja. Haji yupo smart. Binafsi namkubali sana
 
Na unaanzaje kwa mfano?? Me watajuta nawaekea status WhatsApp wasipo view nawatumia uko uko inbox yani mpk taarifa wazipate!!! Visa yake tu kuipata sio mchezo [emoji23][emoji23][emoji23]

Bff vipi ile issue yetu unaendelea??
Naachaje nitawapelekea hadi nyumbani picha zangu za USA

Naendelea fresh kabisa BF malizana na wale na wewe uanze
 
Dah, leo ndiyo nime "confirm", kumbe Kiranga ni walewale, nilikuwa natilia shaka siku nyingi na nilishawahi kumwambia kwa ID yake nyingine. Lakini hii ya leo ni "super confirmation".

Chukulieni kuwa mmeuvaa mkenge.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bibi tumeuvaa mkenge gani tena?? Mbona watutisha wajukuu zako?
 
Dar is nothing kama huna jambo la maana unaganga njaa unajiona upi town ni ujinga unamaisha ya kuunga unga unajiona upo mjini ni uzwazwa. Ulishawahi pita maeneo wanayokaa watu wenye vyao hasa usiku hata harufu ya dawa za mmbu ni tofauti na uswahilini. Ukipita mtaani madirisha mawili sumu ya mmbu dirisha linalofuata udi jingine wanachoma ubani mashtaka mambo ni tafrani na wanajihesabu wapo mjini. Maana ya kuwa mjini ujipate ukiishi kama panya unajitesa tu. Yupo alieishia kibaha ila analife zuri kuliko aliepo kinondoni. Wengi wetu mji unatula hatuli maisha mjini
Unajua tofauti kati ya kuishi na kufika? Hapa tunazungumzia kufika? Uzi unazungumzia Manara kufika Marekani. Na ndio sisi wakulungwa tukazungumzia watu walioishia Kimara na kutamba kwamba wanaijua Dar

Kama hujaelewa zaidi mtafute LIKUD akufafanulie vizuri... Mimi nimefikia kikomo cha kufundisha watu wagumu kuelewa
 
Watu wa mikoani wana hasira sana 😂
 
This is true of Haji in the USA,akifika DC ataenda kupiga picha karibu na White House🤣🤣🤣
Ama ni mimi ndie sijui grammar jamani!!?

Ni muda pia situmii hii lugha kwenye conversation zangu...

Pengine mm ndie niko wrong atii!?
 
Yani watanirudiasha parcel tofauti na hapo sirudi....
kuna mdada anaenda German nitamuomba mwaliko kutest, akikubali tu bora nikaokote makopo huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee utarudi tuu, kule hawakuwezi! utatumiss utufuate [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom