Siku hizi kuna ka mtindo kamezuka mitandaoni uki komenti kitu critical kuhusu celebrity wanaibuka washamba kama wewe wanakuita " hater".Punguza wivu mkuu utaishi maisha marefu,
Wanaume tunapitia mengi sana acha watu wafurahi kwa muda mfupi,
hata wewe waweza subiri kesho mtaani mdundiko upite ucheze.
Tafuta pesa brother punguza wivu.Siku hizi kuna ka mtindo kamezuka mitandaoni uki komenti kitu critical kuhusu celebrity wanaibuka washamba kama wewe wanakuita " hater".
Style up mtoto mdogo
Mbona mimi nilipokuja dar es salaam sikufika koko wala daraja la manzese na mpka now nipo town sijawahi fika coco. Ukipunguza kawivu utakua tofauti na jinsia ya kike
Nilipofika DarWanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate.
Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja..
This is true of Haji in the USA, akifika DC ataenda kupiga picha karibu na White House[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Route ya pili ni kupiga picha Coco beach nikiwa nimezamisha miguu majini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani unapoambiwa waha wabishi, unadhani wote.Mbona mimi nilipokuja dar es salaam sikufika koko wala daraja la manzese na mpka now nipo town sijawahi fika coco. Ukipunguza kawivu utakua tofauti na jinsia ya kike
🤣🤣🤣🤣🤣Nilipofika Dar
Cha kwanza ilikuwa kwenda kupiga picha kwnwye sanamu la Posta