Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.

Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa

Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!

Haji Manara ni nani katika nchi hii!?

Haji Manara ni nani katika nchi hii!
Siku ukikua utajia kuwa sheria zimewekwa kwa ajili ya makabwela tu
 
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.

Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa

Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!

Haji Manara ni nani katika nchi hii!
Kila mtu humu anajua alichoongea Manara?
 
Bahati Mbaya tunawapa watu umaarufu pasipo stahiki umaarufu au kutowaambia mipaka ya umaarufu wao.

Kuna mahala watu hawa wanajiona wana mamlaka ya juu kuliko kila kitu kwasababu tu wanaweza kuongea na wakubwa fulani fulani.
Hatari sana hii!
 
Ila Manara kanihuzunisha sana nategemea muda wowote aje alie lie kuomba msamaha,

Ametumia maneno makali sana kudharirisha jeshi la magereza,

Kuna siku nilisema hapa kama hukuwahi kukaa jela huwezi kuwaheshimu askari magereza ila ukija kukaa wiki tu hata siku ukitoka ukiwaona mtaani utakimbia uvunje mguu,

Nb, Haji asipoangaliwa ipo siku atakuja kuropoka makubwa kila mtu akashika mdomo, nategemea magereza watoe tamko kwa udharirishaji ule ,ikumbukwe huwezi kuwa mfungwa mpaka uhukumiwe nje ya hapo ni mahabusu tu sasa,

Yeye anamuambia askari magereza aende kwa wafungwa wenzie?
 
Back
Top Bottom